Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Hivi mnakuwa serious au ni utani tu??Naipenda CCM Mpaka naumwa, Mungu ibariki CCM Chama kinacholeta amani ni Utulivu Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnakuwa serious au ni utani tu??Naipenda CCM Mpaka naumwa, Mungu ibariki CCM Chama kinacholeta amani ni Utulivu Tanzania
Furahia CCM kufuja kodi zetu bila kufuata utaratibu wa bajeti ya taifa.
TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
mashoga mnajibiana wenyeweMama anaupiga mwingi,Machadema acheni wivu
si zao waache, mbona zenu manatumia kuweka mapicha na mtusi kwenye mitandao ya kijamii
Mama anaupiga mwingi,Machadema acheni wivu
Kiukweli CCM Ni chama Bora kuwahi kutokea hapa Duniani. Wapinzania hawaelewi wafanyaje na hiki chama kinachokubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu
Siku hizi jamiiforum ni ya ccm tunaogopa ban.Naipenda CCM Mpaka naumwa, Mungu ibariki CCM Chama kinacholeta amani ni Utulivu Tanzania
TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
Walamba asali kaziniNaipenda CCM Mpaka naumwa, Mungu ibariki CCM Chama kinacholeta amani ni Utulivu Tanzania
Hapana haziwezifika mkuu wangu Etwege ,CCM ni Chama makini sana na chenye Nidhamu kubwa ya fedha,
Ni hii ikusaidie kugha'mua kwani CHADEMA pamoja na maruzuku yote hawakufanikiwa kujenga hata HQ yao
Naipenda CCM Mpaka naumwa, Mungu ibariki CCM Chama kinacholeta amani ni Utulivu Tanzania
Kiukweli CCM Ni chama Bora kuwahi kutokea hapa Duniani. Wapinzania hawaelewi wafanyaje na hiki chama kinachokubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu
ivi mnakuwa serious au ni utani tu??
Safi sana Chama cha Mapinduzi
TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
Ya kwao lakini shida iko wapi?Gharama za kuandaa mkutano utaambiwa billion 30
Apo kidogo sawa,maana mkono mtupu haulambwiWanatania hao Mkuu. Nani wakuipenda CCM Leo zaidi ya fursa na connection?. Watu wapo ccm kimaslahi
Mpaka anaumwa, kenge kabisa!ivi mnakuwa serious au ni utani tu??