Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

CCM ndio Chama kikiyumba nchi inayumba balaa
 
Hapana haziwezifika mkuu wangu Etwege ,CCM ni Chama makini sana na chenye Nidhamu kubwa ya fedha,

Ni hii ikusaidie kugha'mua kwani CHADEMA pamoja na maruzuku yote hawakufanikiwa kujenga hata HQ yao
Kuwa na Aibu mkuu kusema Ccm ni chama chenye nidhamu ya pesa. Nakwambia acha kabisa hii dhambi.
 
Gharama za kuandaa mkutano utaambiwa billion 30
Na wanavyotumia picha ya Nyerere huku walivyo watoa rushwa kwenye chaguzi, CCM yangu iko mikononi mwa wezi, bila hela hupatiki kura
 
akili timamu ndege ingekamatwa kule uholanz,akili timamu umeme ungewa wa mgao kila siku, akili timamu mngepora uchaguz, akili timamu kungewa na mgao wa maji miaka zaid ya 60 toka uhuru, akili timamu mngevalisha wajinga wenzenu tshirts za chadema kule lindi, akili timamu mngekopa kwa mabeberu kila siku wakati haohao mabeberu hamuwataki ila hela zao, akili timamu mngezuia mikutano ya hadhara kwa nguvu na kutumia polis wasiojielewa.Kifupi ccm ni genge la kiharifu na wapumbavu kuliko magenge yote dunian.
Imafikirisha sana kwamba hadi leo miaka 60 ya uhuru chini ya ccm hatuna maji wala umeme wa uhakika! Na kila siku wanatuimbia wimbo wa nchi itayumba, hivi itayumbishwa na nan?
 
Gharama za kuandaa mkutano utaambiwa billion 30
unaweweseka wewe. leo ndiyo unajua gharama? mbona hukuhoji gharama za kununua wabunge na kurudia uchaguzi na kuwarudisha kwenye majimbo yaleyale?
ETI WANAUNGA MKONO JUHUDI ZA CHIZI
 
Hapana haziwezifika mkuu wangu Etwege ,CCM ni Chama makini sana na chenye Nidhamu kubwa ya fedha,

Ni hii ikusaidie kugha'mua kwani CHADEMA pamoja na maruzuku yote hawakufanikiwa kujenga hata HQ yao

[emoji23] Nidhamu gani kwa hiyo ufisadi wote na upigaji wote unaongozwa na chama gani ndani ya serikali.
 
IMG-20221205-WA0119.jpg
 
Naona wamewekeza haswa kwenye mahoteli hao wazee
Watu wa madili tu hamna lolote
 
Back
Top Bottom