Songaleli
JF-Expert Member
- Aug 6, 2022
- 572
- 637
CCM iko Vizuri Sana sio watu ata Ofisi tu hawawezi kujengaHapana haziwezifika mkuu wangu Etwege ,CCM ni Chama makini sana na chenye Nidhamu kubwa ya fedha,
Ni hii ikusaidie kugha'mua kwani CHADEMA pamoja na maruzuku yote hawakufanikiwa kujenga hata HQ yao