ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe umeshatengeneza vingapi hapo kwako? 🤣🤣🤣🤣Hivo hata mtu siunaweza tengeneza nyumbn na ukajinadi
Wewe unajitoa ufahamu au uko Nje ya Nchi?Dom hivi Kuna jengo lenye floors hata 10 kweliView attachment 2702080
Wakati nasoma Moshi Majengo ,Majirani wa hostel nilimokuwa naishi walikuwa wanatengeneza wine na wanasuply vizuri tuWewe umeshatengeneza vingapi hapo kwako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumbu wa Arusha acha kujifariji,Ili usajiliwe TIC lazima uwe na mtaji wa kuanzia Dola mil.500 na kuendelea au Bilion plus za Tanzania
Acha uongo...dola milioni 500 unazijua au unazisokia [emoji15][emoji15]Wewe umeshatengeneza vingapi hapo kwako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumbu wa Arusha acha kujifariji,Ili usajiliwe TIC lazima uwe na mtaji wa kuanzia Dola mil.500 na kuendelea au Bilion plus za Tanzania
Wewe unazijua? Minimum of $500k equivalent to Tzsh.1 BilionAcha uongo...dola milioni 500 unazijua au unazisokia [emoji15][emoji15]
Hapa pombe watu Wana vilabu vya kutengeneza ila hawawezi tengeneza kuweza ku supply Mikoani na Nje ya Nchi.Wakati nasoma Moshi Majengo ,Majirani wa hostel nilimokuwa naishi walikuwa wanatengeneza wine na wanasuply vizuri tu
😆😆😆Kwa taarifa yako brands za wine zinazotengenezwa Dodoma zimekamata soko lote na zinauzwa kote East and Central Africa.Nakupa mifano tu ya large productionWakati nasoma Moshi Majengo ,Majirani wa hostel nilimokuwa naishi walikuwa wanatengeneza wine na wanasuply vizuri tu
Mbona liongo sana hili ..we si umesema ni milioni 500 inakuwaje Tena inabadilika kuwa 500kWewe unazijua? Minimum of $500k equivalent to Tzsh.1 Bilion
Wakati nafafanua nilisema bei gani Kwa hela za Tanzania?Mbona liongo sana hili ..we si umesema ni milioni 500 inakuwaje Tena inabadilika kuwa 500k
Hapo labda useme dompo tu ,lakin wine inayopendwa na watu ni Drostopy[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa taarifa yako brands za wine zinazotengenezwa Dodoma zimekamata soko lote na zinauzwa kote East and Central Africa.Nakupa mifano tu ya large production
-Presidential Wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta inauzwa kuanzia 60k)
-Dompo
-Saint Mary
-Altar Wine
-Bihawana
-Heaven Son
-Image
-Tanport
-Hombolo
-Tullys
-Gee
-Dodoma wine
-Mtita
-Dane
Dodoma the wine city of East and Central Africa [emoji3533][emoji3533]
Ndio unitajie zina floor ngapiWewe unajitoa ufahamu au uko Nje ya Nchi?
Kambarage tower Ina floors ngapi?
Dom City Hotel Ina floor ngapi?
Rudi shule aisee😀😀😀....inamana hujui kuwa Dar ni Jiji la kibiashara lenye mkusanyiko wa makabila yote 121 ya Tanzania.Wazaramo wanachukua asilimia ndogo sana ya wakazi wa Jiji la Dar .Kati ya wazaramo na wasukuma ni wapi wanazaliana sana kwa maana dar ml 5 na mwanza 1.5 hapo inakaaje kusema wasukuma wanazaliana sana
Kuna anayewazuia kupiga show au chipsi zimewavuruga mmeua mbegu?Rudi shule aisee😀😀😀....inamana hujui kuwa Dar ni Jiji la kibiashara lenye mkusanyiko wa makabila yote 121 ya Tanzania.Wazaramo wanachukua asilimia ndogo sana ya wakazi wa Jiji la Dar .
Mwanza+kanda ya ziwa kiujumla majority ni wasukuma na ni ukweli uliowazi kuwa Wasukuma wanazaliana sana manake hawafuatagi uzazi wa mpango 😀😀inakadiriwa ndio kabila pekee wanazidi zaidi ya milioni 10
We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukumaRudi shule aisee😀😀😀....inamana hujui kuwa Dar ni Jiji la kibiashara lenye mkusanyiko wa makabila yote 121 ya Tanzania.Wazaramo wanachukua asilimia ndogo sana ya wakazi wa Jiji la Dar .
Mwanza+kanda ya ziwa kiujumla majority ni wasukuma na ni ukweli uliowazi kuwa Wasukuma wanazaliana sana manake hawafuatagi uzazi wa mpango 😀😀inakadiriwa ndio kabila pekee wanazidi zaidi ya milioni 10
Unazungumzia ulevi wenzio wanazungumzia vitu vya maana kama dhahabu, tanzanite n.kEndelea kujifariji tu 😀😀.
Dom City imeteka soko lote la wine sio Tanzania tu ni kote East&Central Africa .
Hakuna mji wowote Africa(ukitoa Afrika Kusini) utanusa hata robo kwa Dodoma kwenye wine industry.
Dom city is 💥💥💥
Hatakuelewa juzi tu nimemtibu UTI ya ubongo kichwa Bado hakijakaa sawa.We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma