Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Hivo hata mtu siunaweza tengeneza nyumbn na ukajinadi
Wewe umeshatengeneza vingapi hapo kwako? 🤣🤣🤣🤣

Nyumbu wa Arusha acha kujifariji,Ili usajiliwe TIC lazima uwe na mtaji wa kuanzia Dola mil.500 na kuendelea au Bilion plus za Tanzania
 
Wewe umeshatengeneza vingapi hapo kwako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakati nasoma Moshi Majengo ,Majirani wa hostel nilimokuwa naishi walikuwa wanatengeneza wine na wanasuply vizuri tu
 
Acha uongo...dola milioni 500 unazijua au unazisokia [emoji15][emoji15]
 
Wakati nasoma Moshi Majengo ,Majirani wa hostel nilimokuwa naishi walikuwa wanatengeneza wine na wanasuply vizuri tu
😆😆😆Kwa taarifa yako brands za wine zinazotengenezwa Dodoma zimekamata soko lote na zinauzwa kote East and Central Africa.Nakupa mifano tu ya large production
-Presidential Wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta inauzwa kuanzia 60k)
-Dompo
-Saint Mary
-Altar Wine
-Bihawana
-Heaven Son
-Image
-Tanport
-Hombolo
-Tullys
-Gee
-Dodoma wine
-Mtita
-Dane

Dodoma the wine city of East and Central Africa ♨️♨️
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa taarifa yako brands za wine zinazotengenezwa Dodoma zimekamata soko lote na zinauzwa kote East and Central Africa.Nakupa mifano tu ya large production
-Presidential Wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta inauzwa kuanzia 60k)
-Dompo
-Saint Mary
-Altar Wine
-Bihawana
-Heaven Son
-Image
-Tanport
-Hombolo
-Tullys
-Gee
-Dodoma wine
-Mtita
-Dane

Dodoma the wine city of East and Central Africa [emoji3533][emoji3533]
Hapo labda useme dompo tu ,lakin wine inayopendwa na watu ni Drostopy
 
Kati ya wazaramo na wasukuma ni wapi wanazaliana sana kwa maana dar ml 5 na mwanza 1.5 hapo inakaaje kusema wasukuma wanazaliana sana
 
Rudi shule aisee😀😀😀....inamana hujui kuwa Dar ni Jiji la kibiashara lenye mkusanyiko wa makabila yote 121 ya Tanzania.Wazaramo wanachukua asilimia ndogo sana ya wakazi wa Jiji la Dar .
Mwanza+kanda ya ziwa kiujumla majority ni wasukuma na ni ukweli uliowazi kuwa Wasukuma wanazaliana sana manake hawafuatagi uzazi wa mpango 😀😀inakadiriwa ndio kabila pekee wanazidi zaidi ya milioni 10
 
Endelea kujifariji tu 😀😀.
Dom City imeteka soko lote la wine sio Tanzania tu ni kote East&Central Africa .
Hakuna mji wowote Africa(ukitoa Afrika Kusini) utanusa hata robo kwa Dodoma kwenye wine industry.

Dom city is 💥💥💥
 
Kuna anayewazuia kupiga show au chipsi zimewavuruga mmeua mbegu?
 
Rudi shule aisee😀😀😀....inamana hujui kuwa Dar ni Jiji la kibiashara lenye mkusanyiko wa makabila yote 121 ya Tanzania.Wazaramo wanachukua asilimia ndogo sana ya wakazi wa Jiji la Dar .
Mwanza+kanda ya ziwa kiujumla majority ni wasukuma na ni ukweli uliowazi kuwa Wasukuma wanazaliana sana manake hawafuatagi uzazi wa mpango 😀😀inakadiriwa ndio kabila pekee wanazidi zaidi ya milioni 10
We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma
 
Endelea kujifariji tu 😀😀.
Dom City imeteka soko lote la wine sio Tanzania tu ni kote East&Central Africa .
Hakuna mji wowote Africa(ukitoa Afrika Kusini) utanusa hata robo kwa Dodoma kwenye wine industry.

Dom city is 💥💥💥
Unazungumzia ulevi wenzio wanazungumzia vitu vya maana kama dhahabu, tanzanite n.k
 
We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma
Hatakuelewa juzi tu nimemtibu UTI ya ubongo kichwa Bado hakijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom