We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma