Mwanangu hebu watajie hawa walugaluga majengo ya private yaliyoko arusha ukianzia na naura springs, Hugo plaza, arusha trading center etc yote haya 10+ floorsArusha bado ipo juu sana hayo majengo uliyopiga picha nadhani yote ni ya Serekali Arusha majengo mengi ni wananchi huwezi kufananisha Arusha na Dodoma
Wote muuane tu, hakuna ninayetaka apande juu๐๐๐๐Kumbe Kitombile unachunguliaga battle letu la dom vs chuga๐คฃ๐คฃ sasa hapa uko Tim gani mkuu au shida yako wote tupotee
Sasa unazan kati ya arusha na mwanza ipi inauliwa na domWote muuane tu, hakuna ninayetaka apande juu๐๐๐๐
Mwanza haitoweza kuuliwa na vimji chipukizi kama dadoma, lakini nyie arusha muda wowote dodoma anawakalisha na sasa ameanza kuwakalisha kwenye mambo mengi tu ukitoa sector ya utalii.Sasa unazan kati ya arusha na mwanza ipi inauliwa na dom
Pole sana Kwa kujipa moyo na kujifariji ingawaje ukweli unaujua ๐๐๐๐Mwanza haitoweza kuuliwa na vimji chipukizi kama dadoma, lakini nyie arusha muda wowote dodoma anawakalisha na sasa ameanza kuwakalisha kwenye mambo mengi tu ukitoa sector ya utalii.
Mtaimba poo ๐๐Tunasubiri uwanja wenu ukamilike na nyie tuwaone kwenye list kama hizi isiwe tumetengeneza gofu
Aviation Tanzania
Tanzania katika orodha ya nchi zenye viwanja vya ndege vinavyotumika zaidi barani Afrika. . Cc @trtafrika #aviation #aviationlovers #tanzaniaairports #tanzaniaairportsauthority #aviationtanzaniaโ...www.facebook.com
Best of Dodoma ๐๐Tunasubiri uwanja wenu ukamilike na nyie tuwaone kwenye list kama hizi isiwe tumetengeneza gofu
Aviation Tanzania
Tanzania katika orodha ya nchi zenye viwanja vya ndege vinavyotumika zaidi barani Afrika. . Cc @trtafrika #aviation #aviationlovers #tanzaniaairports #tanzaniaairportsauthority #aviationtanzaniaโ...www.facebook.com
Any updates ya upanuzi wa barabara kutoka nala hadi mtumba au ikiwezekana hadi chamwino kabisa hiyo itakua game changer kwa makao makuu yetu
DuhRasmi Arusha ni underdog Kwa Dom the HQ ๐ฅ๐ฅ๐๐
View attachment 3090877View attachment 3090878
Shida yenu majengo yako mbali mbali ๐Rasmi Arusha ni underdog Kwa Dom the HQ ๐ฅ๐ฅ๐๐
View attachment 3090877View attachment 3090878