Mwanangu hebu watajie hawa walugaluga majengo ya private yaliyoko arusha ukianzia na naura springs, Hugo plaza, arusha trading center etc yote haya 10+ floorsArusha bado ipo juu sana hayo majengo uliyopiga picha nadhani yote ni ya Serekali Arusha majengo mengi ni wananchi huwezi kufananisha Arusha na Dodoma