Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Arusha bado ipo juu sana hayo majengo uliyopiga picha nadhani yote ni ya Serekali Arusha majengo mengi ni wananchi huwezi kufananisha Arusha na Dodoma
Mwanangu hebu watajie hawa walugaluga majengo ya private yaliyoko arusha ukianzia na naura springs, Hugo plaza, arusha trading center etc yote haya 10+ floors
 
Sasa unazan kati ya arusha na mwanza ipi inauliwa na dom
Mwanza haitoweza kuuliwa na vimji chipukizi kama dadoma, lakini nyie arusha muda wowote dodoma anawakalisha na sasa ameanza kuwakalisha kwenye mambo mengi tu ukitoa sector ya utalii.
 
Mwanza haitoweza kuuliwa na vimji chipukizi kama dadoma, lakini nyie arusha muda wowote dodoma anawakalisha na sasa ameanza kuwakalisha kwenye mambo mengi tu ukitoa sector ya utalii.
Pole sana Kwa kujipa moyo na kujifariji ingawaje ukweli unaujua 😂😂👇👇
Screenshot_20240816-084347.jpg
Screenshot_20240809-222109.jpg
 
Tunasubiri uwanja wenu ukamilike na nyie tuwaone kwenye list kama hizi isiwe tumetengeneza gofu
 
Tunasubiri uwanja wenu ukamilike na nyie tuwaone kwenye list kama hizi isiwe tumetengeneza gofu
Best of Dodoma 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_TZ_yrMt9l/?igsh=M2FjaWczd2RqaGUw

View: https://youtu.be/-LGtpePVjsI?si=DsT9gfKGXLY5yUiR
 
Back
Top Bottom