Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kwa CBD DOdoma ikon nyuma sana majengo marefu mapya machache sana angalau yale ya mtumba yangejengwa eneo la kisasa ingekaa vizuri
Dodoma sio local City kwamba ijikusabye sehemu Moja.

Dom ni vibrant City ambayo Huduma zinasambaa everywhere
 
Acha kutudanganya bhana kusambaa every where sio vibrant, vibrant gani unasambaa kila mahali kama mfuko
Wewe ni mjinga eti,unajua hata urban planning kwanza au unapayuka tuu?

Bila ku diversify Jiji,hapo CBD patakuwa ni chaos.

Outdated and poor Cities ndio ziko kama kina Mwanza lakini Miji ya Kisasa na iliyosingamana inajenga CBD zingine Nje huko
 
Ε΄anapeleka mbele tu kila mwaka tumepigwa na kitu kizito
Ndio hasara ya Mkoa kukosa Kiongozi mkubwa,hela zilikuwa tayari wakatoa renders.

Stendi ya Mbeya haikuwepo kwenye miradi ya Tactic,Spika akafanya yake na Sasa ujenzi unaendelea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Nyie Makonda anawatosha πŸ˜‚πŸ˜‚

Dom HQ πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/YEU_QbKu-L8?si=wBu5kcAmZo69N7_r
 
Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.

Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…