ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma sio local City kwamba ijikusabye sehemu Moja.Kwa CBD DOdoma ikon nyuma sana majengo marefu mapya machache sana angalau yale ya mtumba yangejengwa eneo la kisasa ingekaa vizuri
Dom inner roads expansion on pipeline 👇👇
View: https://x.com/Hakingowi/status/1846912221055443097?t=84n5xTwbU3Od0EEmhqUO8A&s=19
Acha kutudanganya bhana kusambaa every where sio vibrant, vibrant gani unasambaa kila mahali kama mfukoDodoma sio local City kwamba ijikusabye sehemu Moja.
Dom ni vibrant City ambayo Huduma zinasambaa everywhere
Wewe ni mjinga eti,unajua hata urban planning kwanza au unapayuka tuu?Acha kutudanganya bhana kusambaa every where sio vibrant, vibrant gani unasambaa kila mahali kama mfuko
Poleni sana Arusha,pesa za Stendi yenu zinajenga Kwa Spika 😂😂👇👇
View: https://x.com/TimesTanzania/status/1852279039689437538?t=oovMUy05UAL7AYHJ2E9CCA&s=19
Ndio hasara ya Mkoa kukosa Kiongozi mkubwa,hela zilikuwa tayari wakatoa renders.Ŵanapeleka mbele tu kila mwaka tumepigwa na kitu kizito
Atakaeiona Arusha hapa chini ani tag 😆😆👇👇
View: https://x.com/twendenamama/status/1856932135640187255?t=XGPvTu6WkHupozNORixvpg&s=19
Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683