Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)


View: https://x.com/dailynewstz/status/1871088101524689315?t=GXkY3Vj5xQ7Sche2djeMoA&s=19
 
Kwanin wewe jamaa Huwa unamponda magufuli na ndie aliyefanya Dodoma angalau ikangaa
Magu ndio alipitisha azimio la Dom kuwa HQ?

Yeye ndio alianza kujenga? Udom ,Bunge ,Chimwaga ,nk alijenga yeye?

Hata sasa kwani yeye ndio anajenga Dom? Mwendazake alifanya acceration tuu at the expenses of other regions development especially Mbeya.

Tulieni NSSF & TCRA wawatandike na vitu vizito hapo Dom HQ
 
SGR ikifika Arusha sjui mtaongea nn tena na mjue hyo SGR ya Arusha itakua 200kmh πŸ˜„
Wangejenga Sgr kutoka Mbeya-Dom-Arusha ingekuwa nzuri sana pia.

View: https://x.com/dailynewstz/status/1882322422214672550?t=YZduoZ8p12a561nl2GFuJQ&s=19
 
Ingeanzia Tunduma kabisa ije mbeya, iringa, Dodoma , Arusha hii ingefanya mtu anayeenda mbeya kutolea dar akifka Dom anaunga mbeya, pia mtu angeweza kutoka mwanza kwenda mbeya, Arusha & moshi kwenda mwanza, Arusha kwenda mbeya, mbeya kwenda kigoma, Arusha & moshi kwenda tabora, kigoma n.k hapo biashara ya mabasi ingekua imekufa kifo Cha mende ila sijui kwanini hawawazi hiv sjaskia sgr ya kwenda mbeya popote pale nmeskia kusini tu sasa na hii tazara ambayo wachina wameichukua nadhan watatarget mizigo tu
 
Dom inaendelea Kupeleka vilio Kwa Arusha & kama yake aliyezeeka Mwanza is Slum 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFe_3tqtccH/?igsh=cmJzM2Z2MXN2ajI4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…