Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 607
Kwenye suala la miundombinu sikatai ila usafiri mkubwa wa jiji ni nini,,, unaweza kutuambia watu wanaoishi Kikuyu, Kisasa relini wanatokaje na wanarudi vipi makwao wakiwa mjini?Sasa ndugu yangu Dodoma.sio Jiji la hovyo kama.huko kwingine kiasi kwamba Kila sehemu kuwe na madaladala..
Miji ya kienyeji kienyeji ndio inaona madaladala kama usafiri..
Mwisho badala uje na hoja unakuja na blaa blaa,sema Arusha inaizidi nini Dodoma?
Jiji linakuwa na intermodal transport systems Sasa Dom ni Mji uliopangwa hivyo hayawezi kutegemea madaladala tuu ,Kuna Bajaj,boda,tax,train,Mabasi nkKwenye suala la miundombinu sikatai ila usafiri mkubwa wa jiji ni nini,,, unaweza kutuambia watu wanaoishi Kikuyu, Kisasa relini wanatokaje na wanarudi vipi makwao wakiwa mjini?
We Jamaa bwana Kwa hiyo viwanda vinavyojengwa Dom sio vya wawekezaji au?Kwamba unataka kusema Abuja hamna viwanda?! Tuna Rudi pale kwenye fact kwamba Dodoma sio mji wa kuishi na huwezi kumvutia mwekezaji kuishi na kujenga dodoma kutokana na nature yake ilivo
😀😀Unachekesha aliyekwambia Dodoma hakuna kilimo nani....Mwanza nitofauti na majiji mengine, ina kilimo, uvuvu, madini lkn uwepo wa viwanda pia unaleta ahueni
Arusha kidogo msimu wa utalii huwa inafunguka ila Dodoma ina nini ukitoa bunge na vyuo?
Kisasa relini ni mojawapo ya mitaa ya watu wa upper income,hata ukianzisha route ya daladala itakua ni hasara wengi wanamiliki usafiri binafsi ni sawa sawa na ushuani ndani ndani Oysterbay,Masaki,Msasani huko route za daladala hakunaKwenye suala la miundombinu sikatai ila usafiri mkubwa wa jiji ni nini,,, unaweza kutuambia watu wanaoishi Kikuyu, Kisasa relini wanatokaje na wanarudi vipi makwao wakiwa mjini?
Hizo hotel ulizotaja ni nyota tano...?! kama ni bora hotel Arusha zipo nyingi...
Hizo kumbi za Mikutano zina lingana na AICC...?!
Apartments na makazi ya Arusha ni bora... upande wa nyumba AICC wanazo nyingi, NHC na wengine kama kule PPF...
Leta chanzo cha taarifa yako ya kwamba, Dodoma inaipita Arusha kwa mapato ya TRA... nakuhakikishia hata kwa Kilimanjaro haifiki...
Hivi kwa Tanzania Kuna Jiji lililopangika kama Tanga?! Emu zunguka kwanza ndo uje kuandika Utopolo huuJiji linakuwa na intermodal transport systems Sasa Dom ni Mji uliopangwa hivyo hayawezi kutegemea madaladala tuu ,Kuna Bajaj,boda,tax,train,Mabasi nk
Miaka michache Ijayo wanaenda kujenga tram,light rail,brt na ujenzi umeanza Kwa ku integrate miundombinu ya Sasa kuja ku suit hiyo ijayo.
Vitu kama hivyo Arusha itakuja kupata 2070 huko [emoji16][emoji16]
Mbona unaleta habari za miaka 2018 ,Yani dodoma kwa mbele Haina future yoyote ukitazama na miji na majiji mengine kama Arusha,Mwanza ,Mbeya na DarDODOMA YAONGOZA KUKUSANYA MAPATO, MBEYA YA MWISHO – VIDEO
Jiji la Dodoma limekuwa la kwanza kati ya majiji sita hapa nchini kwa kusanya bilioni 25.5 toka kwenye lengo la kukusanya bilioni 19.3 Sawa na 130% huku Jiji la Mbeya likiwa la mwisho kwa kukusanya bilioni 7 toka kwenye lengo la kukusanya bilioglobalpublishers.co.tz
Duh! Wee jamaaa, Upande wa kilimo Dom unaweza ilinganisha na Mwanza?[emoji3][emoji3]Unachekesha aliyekwambia Dodoma hakuna kilimo nani....
-Je unajua Dodoma ni ya pili Afrika kwa uzalishaji wa Zabibu na mvinyo
-Je unajua Dodoma inaongoza Tanzania kwa kilimo cha Mtama,Uwele,Tende,Alizeti,Rosella
-Je unajua Dodoma kuna uchimbaji wa dhahabu kwenye migodi ya Handali,Nholi na huko Kondoa
-Unasema Mwanza kuna uwepo wa viwanda kwani Dodoma hakuna viwanda vikubwa kwamfano Kiwanda cha Nyama,Kiwanda cha Mbolea,Kiwanda cha Magodoro,Viwanda vya kutengeneza wine n.k
Unachekesha eti Kiwanda cha Mbolea Dodoma hakijaanza kujengwa😀😀😀wakati uzalishaji ushaanza zamani Toka mwakajanaDuh! Wee jamaaa, Upande wa kilimo Dom unaweza ilinganisha na Mwanza?
Kwa upande wa madini ya dhahabu kanda ya ziwa ni kama misikiti Zanzibar, sehemu zote zina madini sjui kama unajua kuwa 80% ya mkoa wa Geita ni dhahabu, Sengerema kunajengwa mgodi mkubwa kuliko ule wa GGM, Mara kuna mgodi mkubwa wa North Mara, Kahama ina migodi mikubwa zaidi ya miwili, Mwadui ina almasi, Biharamulo nk sehemu zote hizo zinainufaisha Mwanza
Upande wa viwanda ikikitoa kiwanda cha magodoro QFL na kile kimoja cha zabibu Dom ina kiwanda gani kingine? Cha mbolea ni mkakati hakijaanza hata kujengwa,
Wakati Mwanza ina viwanda vya samaki vikubwa zaidi ya vinne, SBC wanafyatua soda za pepsi Mwanza, Cocacola wanafyatua soda Mwanza, Sayona pia,, sjui kama unajua Mwanza nondo hawaagizi Dar, Sjui kama unajua bia zote pia Mwanza hawaagizi Dar
Upande wa sekta binafsi Mwanza huwezi ilinganisha na Dom hata kidogo
KILIMO nimekupa facts namba hazidanganyi naomba unijibu facts kwa factsDuh! Wee jamaaa, Upande wa kilimo Dom unaweza ilinganisha na Mwanza?
Kwa upande wa madini ya dhahabu kanda ya ziwa ni kama misikiti Zanzibar, sehemu zote zina madini sjui kama unajua kuwa 80% ya mkoa wa Geita ni dhahabu, Sengerema kunajengwa mgodi mkubwa kuliko ule wa GGM, Mara kuna mgodi mkubwa wa North Mara, Kahama ina migodi mikubwa zaidi ya miwili, Mwadui ina almasi, Biharamulo nk sehemu zote hizo zinainufaisha Mwanza
Upande wa viwanda ikikitoa kiwanda cha magodoro QFL na kile kimoja cha zabibu Dom ina kiwanda gani kingine? Cha mbolea ni mkakati hakijaanza hata kujengwa,
Wakati Mwanza ina viwanda vya samaki vikubwa zaidi ya vinne, SBC wanafyatua soda za pepsi Mwanza, Cocacola wanafyatua soda Mwanza, Sayona pia,, sjui kama unajua Mwanza nondo hawaagizi Dar, Sjui kama unajua bia zote pia Mwanza hawaagizi Dar
Upande wa sekta binafsi Mwanza huwezi ilinganisha na Dom hata kidogo
Upande wa viwanda kiujumla Dodoma imeizidi Mwanza parefu sana labda ukitoa Kiwanda cha CocaCola na Pepsi basi(ikumbukwe Dodoma Kiwanda cha Pepsi kilianza zamani sana miaka ya 90 kabla ya kuhamishiwa Mbeya).Nikupe mfano sekta moja tu ya Zabibu kuna viwanda vya mvinyo zaidi ya 20.Viwanda vikubwa ni CeltaWico Hombolo pamoja na Alko Vintages Ltd.Vingine ni viwanda vidogo vidogo vinavyotengeneza brands zaidi ya 30 za wine.Ukija kwenye maziwa kuna viwanda zaidi ya vitano vya kusindika maziwa na mtindi.Duh! Wee jamaaa, Upande wa kilimo Dom unaweza ilinganisha na Mwanza?
Kwa upande wa madini ya dhahabu kanda ya ziwa ni kama misikiti Zanzibar, sehemu zote zina madini sjui kama unajua kuwa 80% ya mkoa wa Geita ni dhahabu, Sengerema kunajengwa mgodi mkubwa kuliko ule wa GGM, Mara kuna mgodi mkubwa wa North Mara, Kahama ina migodi mikubwa zaidi ya miwili, Mwadui ina almasi, Biharamulo nk sehemu zote hizo zinainufaisha Mwanza
Upande wa viwanda ikikitoa kiwanda cha magodoro QFL na kile kimoja cha zabibu Dom ina kiwanda gani kingine? Cha mbolea ni mkakati hakijaanza hata kujengwa,
Wakati Mwanza ina viwanda vya samaki vikubwa zaidi ya vinne, SBC wanafyatua soda za pepsi Mwanza, Cocacola wanafyatua soda Mwanza, Sayona pia,, sjui kama unajua Mwanza nondo hawaagizi Dar, Sjui kama unajua bia zote pia Mwanza hawaagizi Dar
Upande wa sekta binafsi Mwanza huwezi ilinganisha na Dom hata kidogo
Hii kano ni kama mwanza tu. Haina kelele ila speed yake sas [emoji3]Mzee ukiwa unaongea uwe na fact na usiwe muongo, tangia lini Abuja ikawa mji wa 2 kwa ukubwa Nigeria[emoji1484], Dodoma ukiacha Makao makuu akuna mfanyakaz wa Serikali atakae Kaa pale mji haujakaa kistarehe kabisaView attachment 2686315View attachment 2686316
Mimi chuga mmepita ila nilifika saa nne ila palikua Pako firee...Nasimama na Arusha.. dodoma bado Ina safari ndefu kuipata Arusha ndo ipambane na mwanza.....hata hyo population inayotajwa dodoma imehusisha Hadi vijiji vya hombolo huko na chipogolo ...proper city population ya dodoma not more than 450k ...
Udongo unaouzungumzia ni wa kieneo ama ninnchi hii sijui ujinga utaisha lini. Watu kwa ujinga au kwasababu zao hasa ujinga wanachanganya maeneo ya kiutawala. Kwa mujibu wa sensa ya 2022, Mkoa wa Dar Es Salaam una idadi ya watu 5,383,928, hii idadi siyo ya jiji. Idadi ya watu ktkt majiji na rank zao hapa nchini ni km ifuatavyo:
1. Dar Es Salaam - 1,649,912
2. Dodoma - 765,179
3. Arusha - 617,631
4. Mwanza - 594,834
5. Mbeya - 541,603
6. Tanga - 393,429.
Msichanganye population ya Ilemela na ya jiji la Mwanza, jiji la Mwanza ni eneo la Nyamagana km jiji la Dar ni eneo la Ilala, ndiyo maana ktkt sensa huwezi kuona idadi ya watu wa Ilala wala wa Nyamagana. Jiji la Mwanza ni dogo tu imekaribiwa hata na jiji la Mbeya. Rejea kitabu cha ripoti ya sensa ya mwaka 2022.
Kwa hyo mtu anayekaa masaki ,osyterbay ,sinza ,hayupo jiji la dare es salaam maana hyo ni manispaa ya kinondoni....???nchi hii sijui ujinga utaisha lini. Watu kwa ujinga au kwasababu zao hasa ujinga wanachanganya maeneo ya kiutawala. Kwa mujibu wa sensa ya 2022, Mkoa wa Dar Es Salaam una idadi ya watu 5,383,928, hii idadi siyo ya jiji. Idadi ya watu ktkt majiji na rank zao hapa nchini ni km ifuatavyo:
1. Dar Es Salaam - 1,649,912
2. Dodoma - 765,179
3. Arusha - 617,631
4. Mwanza - 594,834
5. Mbeya - 541,603
6. Tanga - 393,429.
Msichanganye population ya Ilemela na ya jiji la Mwanza, jiji la Mwanza ni eneo la Nyamagana km jiji la Dar ni eneo la Ilala, ndiyo maana ktkt sensa huwezi kuona idadi ya watu wa Ilala wala wa Nyamagana. Jiji la Mwanza ni dogo tu imekaribiwa hata na jiji la Mbeya. Rejea kitabu cha ripoti ya sensa ya mwaka 2022.
Kaka tusilete porojo hebu vitaje viwanda vyote vya Dodoma na mimi nikutajie viwanda vya MwanzaUpande wa viwanda kiujumla Dodoma imeizidi Mwanza parefu sana labda ukitoa Kiwanda cha CocaCola na Pepsi basi(ikumbukwe Dodoma Kiwanda cha Pepsi kilianza zamani sana miaka ya 90 kabla ya kuhamishiwa Mbeya).Nikupe mfano sekta moja tu ya Zabibu kuna viwanda vya mvinyo zaidi ya 20.Viwanda vikubwa ni CeltaWico Hombolo pamoja na Alko Vintages Ltd.Vingine ni viwanda vidogo vidogo vinavyotengeneza brands zaidi ya 30 za wine.Ukija kwenye maziwa kuna viwanda zaidi ya vitano vya kusindika maziwa na mtindi.
Ukija kwenye sekta ya Alizeti ukitoa viwanda vitatu vikubwa kile cha SunBelt,kile cha Pyrux na kile cha serikali cha CPB Dodoma kuna utitiri wa viwanda vidogo vidogo vya kukamua mafuta ya Alizeti
😀😀😀Arusha kuna stendi au kastendi kalikojibana bana.Usilinganishe Arusha na stendi ya kisasa ya mabasi DomMimi chuga mmepita ila nilifika saa nne ila palikua Pako firee...
Njoo dodoma Sana hapo stendi [emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naijua dodoma vzr Sana inshort Bado sanaaaaaaaaa