ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama nakuona unavyoumia Kwa wivu 😁😁Hatakuelewa juzi tu nimemtibu UTI ya ubongo kichwa Bado hakijakaa sawa.
Cc Qualitycontrol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona unavyoumia Kwa wivu 😁😁Hatakuelewa juzi tu nimemtibu UTI ya ubongo kichwa Bado hakijakaa sawa.
😀😀😀Unachekesha sana aisee kwani Mwanza hakuna viwanda vya pombe.Kubali matokeo tu Dom City imewakalisha kwa sasa.Mwanza mnawazidi Dom City kwa population tu lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hamuwafikii huo ndio ukweli mchunguUnazungumzia ulevi wenzio wanazungumzia vitu vya maana kama dhahabu, tanzanite n.k
Dar ndio Jiji la kibiashara linalohudumia East and Central Africa acha kujitoa ufahamu kutaja Mwanza.We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma
Sawa pambana sasa😀😀😀Unachekesha sana aisee kwani Mwanza hakuna viwanda vya pombe.Kubali matokeo tu Dom City imewakalisha kwa sasa.Mwanza mnawazidi Dom City kwa population tu lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hamuwafikii huo ndio ukweli mchungu
Kwani wa-gogo hawachapi kikwao na Mimi nimeishi Dom pale maili mbili miaka na miaka kilugha kinatembezwa kama kawaida.Dar ndio Jiji la kibiashara linalohudumia East and Central Africa acha kujitoa ufahamu kutaja Mwanza.
Ni kweli Mwanza kama ilivyo majiji makubwa kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini asilimia kubwa wenyeji ni Wasukuma.Kwa Dar ni tofauti manake wenyeji halisi Wazaramo ni asilimia ndogo sana .Nimeishi Dar zaidi ya miaka 20 ila hata salamu ya Wazaramo sijui wanasalimianaje.Ukienda Mwanza mfano sokoni au kwa mama ntilie wanakuongelesha kisukuma bila kujua kuwa wewe ni mgeni😀😀
😀😀Umekariri mtaa mmoja tu...kwa taarifayako Makabila wenyeji wa Dodoma👇👇Kwani wa-gogo hawachapi kikwao na Mimi nimeishi Dom pale maili mbili miaka na miaka kilugha kinatembezwa kama kawaida.
Kwani mwanza Ina kabila Moja mbona unajitoa ufahamu. Wahehe toka lini wawe wazawa wa Dodoma. Mtani Kasi yako mbona ya uongo pro max.😀😀Umekariri mtaa mmoja tu...kwa taarifayako Makabila wenyeji wa Dodoma👇👇
-Wasandawe
-Warangi
-Wakaguru
-Wanguu
-Waburunge
-Wasagara
-Wagogo
-Wahehe
-Wanyambwa
-Wabarbaig
Mkuu achana na hizo mbuzi zitakuchosha bure pale hakuna jiji! serikali wakimaliza projects zao pale Mtumba biashara imeisha.Kwani wa-gogo hawachapi kikwao na Mimi nimeishi Dom pale maili mbili miaka na miaka kilugha kinatembezwa kama kawaida.
Utoporoo usibishe kitu usichokijua ..nimewahi kufanya kazi wilaya ya Mpwapwa Wahehe ni wenyeji wa wilaya ya Mpwapwa wewe umekariri wapo Iringa pekee poleee😀😀.Kuanzia maeneo ya Milima ya Rubeho,Chipogoro hadi Mtera huko kote Wahehe wamejaa.Kwani mwanza Ina kabila Moja mbona unajitoa ufahamu. Wahehe toka lini wawe wazawa wa Dodoma. Mtani Kasi yako mbona ya uongo pro max.
Yani dodoma iwe na MADINI kuliko shinyanga?! Kwa kifupi madin ya kimkakati yanayopatikana dodoma ni Ruby ,ila dhahabu ipo sehemu nyingi mkuu
Kwa hiyo hutaki au? 😁😁 Shinyanga Kuna Madini ya Nukes? Au umkariri ukisikia Madini unajua ni dhahabu pekee?Yani dodoma iwe na MADINI kuliko shinyanga?! Kwa kifupi madin ya kimkakati yanayopatikana dodoma ni Ruby ,ila dhahabu ipo sehemu nyingi mkuu
Sasa Uranium mbona ipo kila sehemu Hadi Arusha ipo,Ruby Arusha ipo ,kama ni dhahabu Mwanza,Geita,shinyanga ndio za kumwaga usiseme sasa kipi Cha ajabu hapoUnachekesha sana madini ya mdomoni wakati kuna sehemu Dodoma uzalishaji unaendelea.Nakupa mifano
-machimbo ya dhahabu Nholi na Handali
-machimbo ya Ruby Mpwapwa
-kuna Uranium imegunduliwa huko Haubi Kondoa
Sasa Nukes kwa Tz inatusaidia nini?! Shinyanga Kuna Almasi ambayo ndio madini ghali na yenye thamani dunianiKwa hiyo hutaki au? [emoji16][emoji16] Shinyanga Kuna Madini ya Nukes? Au umkariri ukisikia Madini unajua ni dhahabu pekee?
Kwamba wachaga, wamasai, wajita, wazinza, wakara, wakurya, wayao, warangi, wahaya, wasambaa, wanyatulu n.k hawaishi mwanza. Huna akili ya kubishana wewe una puyanga tu.Utoporoo usibishe kitu usichokijua ..nimewahi kufanya kazi wilaya ya Mpwapwa Wahehe ni wenyeji wa wilaya ya Mpwapwa wewe umekariri wapo Iringa pekee poleee😀😀.Kuanzia maeneo ya Milima ya Rubeho,Chipogoro hadi Mtera huko kote Wahehe wamejaa.
Huko Niger nukes inawasaidia nini? Unadhani Marekani alijenga Barabara ya Songea-Masasi Kwa Bure tuu? Alienda kuchimba nukes NamtumboSasa Nukes kwa Tz inatusaidia nini?! Shinyanga Kuna Almasi ambayo ndio madini ghali na yenye thamani duniani
Mwanza wamejaa washamba wa Kisukuma pekee,Dom ni Makao Makuu ya Nchi utapata watu wa Kila dizainiDodoma ndo iwe na mchanganyiko wa makabila mengi kuliko Mwanza, unaota ndoto za mchana dogo
Sasa hayo makabila ni ya wenyeji asili wa Mwanza .Mwanza kabila asili ni moja tu Wasukuma labda na Wakerewe hao ndio wenyeji asili wa Mwanza ndiomana Kisukuma kinazungumzwa sana Mwanza.Kwa Dodoma case ni tofauti ndiomana nimekutajia makabila ya wazawa zaidi ya kumi tofauti na Mwanza ambapo Wasukuma ndio dominant .Miji mikubwa yote ina mchanganyiko wa makabila yote ya Tanzania lakini haiondoi ukweli kwamba kwenye hiyo miji kuna makabila ambayo ni ya asili ya eneo husikaKwamba wachaga, wamasai, wajita, wazinza, wakara, wakurya, wayao, warangi, wahaya, wasambaa, wanyatulu n.k hawaishi mwanza. Huna akili ya kubishana wewe una puyanga tu.