Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Unazungumzia ulevi wenzio wanazungumzia vitu vya maana kama dhahabu, tanzanite n.k
😀😀😀Unachekesha sana aisee kwani Mwanza hakuna viwanda vya pombe.Kubali matokeo tu Dom City imewakalisha kwa sasa.Mwanza mnawazidi Dom City kwa population tu lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hamuwafikii huo ndio ukweli mchungu
 
We kumbe ni kiazi umekaririshwa tambua jiji la mwanza nalo siyo la wasukuma pekee kwa sasa linakaliwa na makabila tofauti kwa sababu nalo ni Jiji la kibiashara Africa mashariki watu wa Rwanda Burundi Kenya na makabila mbalimbali Yako hapa SEMA unaweza kutana na watu wanaongea kisukuma ukadhani ni wasukuma kumbe wanakifahamu Kwa sababu ya kuishi muda mrefu huku hulka ya wasukuma wanaenda sana kuongea lugha Yao na tamaduni zao tofauti na wazaramo ambazo hawapendi kuongea lugha Yao mi nimezaliwa dar temeke hivyo huko napaelewa vizuri na huku Mwanza napaelewa vizuri TU ikiwa na akili ndogo utaelewa kabisa msipende kudharau wasukuma ingawa mi siyo msukuma
Dar ndio Jiji la kibiashara linalohudumia East and Central Africa acha kujitoa ufahamu kutaja Mwanza.
Ni kweli Mwanza kama ilivyo majiji makubwa kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini asilimia kubwa wenyeji ni Wasukuma.Kwa Dar ni tofauti manake wenyeji halisi Wazaramo ni asilimia ndogo sana .Nimeishi Dar zaidi ya miaka 20 ila hata salamu ya Wazaramo sijui wanasalimianaje.Ukienda Mwanza mfano sokoni au kwa mama ntilie wanakuongelesha kisukuma bila kujua kuwa wewe ni mgeni😀😀
 
Unachekesha sana madini ya mdomoni wakati kuna sehemu Dodoma uzalishaji unaendelea.Nakupa mifano
-machimbo ya dhahabu Nholi na Handali
-machimbo ya Ruby Mpwapwa
-kuna Uranium imegunduliwa huko Haubi Kondoa

😀😀😀Unachekesha sana aisee kwani Mwanza hakuna viwanda vya pombe.Kubali matokeo tu Dom City imewakalisha kwa sasa.Mwanza mnawazidi Dom City kwa population tu lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hamuwafikii huo ndio ukweli mchungu
Sawa pambana sasa
 
Dar ndio Jiji la kibiashara linalohudumia East and Central Africa acha kujitoa ufahamu kutaja Mwanza.
Ni kweli Mwanza kama ilivyo majiji makubwa kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini asilimia kubwa wenyeji ni Wasukuma.Kwa Dar ni tofauti manake wenyeji halisi Wazaramo ni asilimia ndogo sana .Nimeishi Dar zaidi ya miaka 20 ila hata salamu ya Wazaramo sijui wanasalimianaje.Ukienda Mwanza mfano sokoni au kwa mama ntilie wanakuongelesha kisukuma bila kujua kuwa wewe ni mgeni😀😀
Kwani wa-gogo hawachapi kikwao na Mimi nimeishi Dom pale maili mbili miaka na miaka kilugha kinatembezwa kama kawaida.
 
Kwani wa-gogo hawachapi kikwao na Mimi nimeishi Dom pale maili mbili miaka na miaka kilugha kinatembezwa kama kawaida.
😀😀Umekariri mtaa mmoja tu...kwa taarifayako Makabila wenyeji wa Dodoma👇👇
-Wasandawe
-Warangi
-Wakaguru
-Wanguu
-Waburunge
-Wasagara
-Wagogo
-Wahehe
-Wanyambwa
-Wabarbaig
 
😀😀Umekariri mtaa mmoja tu...kwa taarifayako Makabila wenyeji wa Dodoma👇👇
-Wasandawe
-Warangi
-Wakaguru
-Wanguu
-Waburunge
-Wasagara
-Wagogo
-Wahehe
-Wanyambwa
-Wabarbaig
Kwani mwanza Ina kabila Moja mbona unajitoa ufahamu. Wahehe toka lini wawe wazawa wa Dodoma. Mtani Kasi yako mbona ya uongo pro max.
 
Kwani mwanza Ina kabila Moja mbona unajitoa ufahamu. Wahehe toka lini wawe wazawa wa Dodoma. Mtani Kasi yako mbona ya uongo pro max.
Utoporoo usibishe kitu usichokijua ..nimewahi kufanya kazi wilaya ya Mpwapwa Wahehe ni wenyeji wa wilaya ya Mpwapwa wewe umekariri wapo Iringa pekee poleee😀😀.Kuanzia maeneo ya Milima ya Rubeho,Chipogoro hadi Mtera huko kote Wahehe wamejaa.
 
Yani dodoma iwe na MADINI kuliko shinyanga?! Kwa kifupi madin ya kimkakati yanayopatikana dodoma ni Ruby ,ila dhahabu ipo sehemu nyingi mkuu
Kwa hiyo hutaki au? 😁😁 Shinyanga Kuna Madini ya Nukes? Au umkariri ukisikia Madini unajua ni dhahabu pekee?
 
Unachekesha sana madini ya mdomoni wakati kuna sehemu Dodoma uzalishaji unaendelea.Nakupa mifano
-machimbo ya dhahabu Nholi na Handali
-machimbo ya Ruby Mpwapwa
-kuna Uranium imegunduliwa huko Haubi Kondoa

Sasa Uranium mbona ipo kila sehemu Hadi Arusha ipo,Ruby Arusha ipo ,kama ni dhahabu Mwanza,Geita,shinyanga ndio za kumwaga usiseme sasa kipi Cha ajabu hapo
 
Utoporoo usibishe kitu usichokijua ..nimewahi kufanya kazi wilaya ya Mpwapwa Wahehe ni wenyeji wa wilaya ya Mpwapwa wewe umekariri wapo Iringa pekee poleee😀😀.Kuanzia maeneo ya Milima ya Rubeho,Chipogoro hadi Mtera huko kote Wahehe wamejaa.
Kwamba wachaga, wamasai, wajita, wazinza, wakara, wakurya, wayao, warangi, wahaya, wasambaa, wanyatulu n.k hawaishi mwanza. Huna akili ya kubishana wewe una puyanga tu.
 
Sasa Nukes kwa Tz inatusaidia nini?! Shinyanga Kuna Almasi ambayo ndio madini ghali na yenye thamani duniani
Huko Niger nukes inawasaidia nini? Unadhani Marekani alijenga Barabara ya Songea-Masasi Kwa Bure tuu? Alienda kuchimba nukes Namtumbo
 
Dodoma ndo iwe na mchanganyiko wa makabila mengi kuliko Mwanza, unaota ndoto za mchana dogo
 
Kwamba wachaga, wamasai, wajita, wazinza, wakara, wakurya, wayao, warangi, wahaya, wasambaa, wanyatulu n.k hawaishi mwanza. Huna akili ya kubishana wewe una puyanga tu.
Sasa hayo makabila ni ya wenyeji asili wa Mwanza .Mwanza kabila asili ni moja tu Wasukuma labda na Wakerewe hao ndio wenyeji asili wa Mwanza ndiomana Kisukuma kinazungumzwa sana Mwanza.Kwa Dodoma case ni tofauti ndiomana nimekutajia makabila ya wazawa zaidi ya kumi tofauti na Mwanza ambapo Wasukuma ndio dominant .Miji mikubwa yote ina mchanganyiko wa makabila yote ya Tanzania lakini haiondoi ukweli kwamba kwenye hiyo miji kuna makabila ambayo ni ya asili ya eneo husika
 
Back
Top Bottom