Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Hizi ndizo tunaita sifa za kijinga! Naona umedandia treni kwa mbele nisaidie chanzo cha habari kuwa ktk nchi a afrika mashariki, TZ, inaongoza kwenye inclusive economy!!
Naona unateseka, yeye kashasema hakuna kama hiyo au kufikia hiyo wewe unaepinga ndio ulete sasa hiko chanzo kinachoonesha nchi fulani kuna stand kubwa au ulete picha ya stand na utuambie hii ipo inchi fulan, sasa ukimwambia yeye ndio alete chanzo kinachoonesha hakuna kama hii hapo itakua una matatizo kidogo ktk lugha yetu ya Kiswahili itakua huijui vizuri.

Kwasababu haiwezekani wewe ndie unaepinga halafu yeye ndio akujibie hoja yako ya kupinga uliona wapi? Acha bla bla yeye kasema hakuna kama hiyo ukanda huu na Mimi nakubaliana na hilo, wewe unaepinga sasa sema zipo au ipo na lete na picha hapo tutajua kama kweli ipo au zipo.
 
hawa hawakosekani kama Kunyaland ingejenga vituo kama hivi kabla yetu ungewaona humu wakikosoa!
Ndio tatizo la hawa maroporopo, ingekua ni kwa wengine wangemuabudu huyo kiongozi wa hilo Taifa kama mungu wao.
 
Hivi wewe ushawahi toka hata nje ya Tanzania. Ulaya maisha ya waty wengi mabovu tu ysiongope kuona yale ma flyover na magorofa. angalia wazungu na wachina walivyojazana Afrika wakisaka maisha.
 
Sema hapo ndiyo kwenye shida.usafi usafi ni janga kubwa bongo.nashauri wangebinafsisha hivyo vyoo labda inaweza saidia.maana huyo jamaa anayekula ugali na samaki baada ya wiki mbili tatu akirudi hapo na samaki wake ataweza dhani samaki ameoza
Ni shida kaka wabongo hatuna nature ya usafi ukicompare na wanyarwanda .watanzania tunayo nature ya uchafu.ambachi kingetusaidia ni bylaws kali za kutushurutisha .hata usafi wa makonda dar naona kashagive up. Usafi wa mwisho wa mwezi ni ndoto ya masika
 
Nadhani unatumia nguvu nyingi kumuelezea mtu ambaye anajitambua ila anafanya kusudi tu kwa ajili ya itikadi yake, tumeshawazoea hao ndio maana wakianza kutumia huduma walizoziponda wanapigwa picha ili waumbuke
 
Hii ingepelekwa kwenye jukwaa zenu huko maana haina uhusiano wowote na Kenya. Jukwaa la mapenzi ingekuwa bora zaidi.
Leo koo limekukauka subiri nikuletee maji ulainishe koo, ili uanze kutiririka [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ipe miezi 3 Halafu nenda kaangalia vyoo na viti
Mkuu siku hizi kidogo tunaanza kuelewa labda baada ya miezi sita labda, kwa Dodoma naona kuna ustaarabu si Sawa na Dar ndio maana nikaweka neno labda
 
Shida ya CCM na uongozi wake hawajui ku set vipaumbele vinavyogusa uchumi wa mwananchi mjamja ndio maana hata wafanye vipi hawawezi kupendwa na hawana hoja bila polisi hamna kitu.

Unashangaa wako busy na mamiradi ambayo hata hayana impacts yoyote kwa mtu wa kawaida ila sifa za kupigia picha eti wafanane na ulaya sijui inasaidia nini zaidi ya kuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali.Nchi nzima wamekomaa na mastendi na masoko tena ya gharama kubwa,yenye maghorofa nknk wakati sera ya kumtua mama ndoo inasua sua,hospitali na madawa kila kata na zahanati hakuna,watoto wamerundikana kwenye madarasa kama wako zizini na wamama wanalala zaidi ya 1 kwenye vyumba vya kujifungulia,barabara za vijijini ni shida na wao ni mashahidi kila kwa kilio cha wabunge huko Dodoma.

Ukienda huko kijijini unakuta umeme wa umefika lakini wananchi walio na uwezo kuunga ni shida maana hali yao ni mbaya kiuchumi sas huu uchumi wa miradi mikubwa wanini? Nakupa mfano mdogo nilimsikia waziri wa nishati anasema uwezo wa mkoa wa kigoma ni kutumia mg 15 tu lakini wanajenga kituo cha kufua umememe mg 100 hata yeye akawauliza wananchi maumeme yote haya watayapeleka wapi?

Ndio maana huwa sikubalianai na aina ya miradi ya CCM na timing yake, huwezi target umeme wa mg 10,000 ukaweka resources huko wakati hata mg 1600 za sasa ni excess, huwezi jenga SGR za matilioni afu zitabaki kuwa iddle kisa tu unataka ufanane na wa ulaya,hii sio sawa tunaelekea njia ya Ethiopia kwenye uchumi. Kuna shida mahali tusubiri mda utasema.
 
Gharama za mastendi ni kubwa mno kuli
Kati ya hospitali na stendi zipi zimejengwa zaidi awamu hii?
Pesa iliyokuwa ommitted kwenye mastendi na miradi ya dizaini hiyo kwa lugha ya miradi ya kimkakati ni nyingi sana kuliko iliyopelekwa kwenye vituo vya afya, complications kwenye stend na gharama kubwa hivyo ni za nini? watu wajifunze optimal allocations of resources.

Siku hizi kumezuka wizi mpya wa kutoza watu pesa kuingia stend au kuzuia malori kuingia mjini kwamba ukitaka kuingia mjini ulipe pesa,logic ya kitu hiki ni nini hasa?
 
Chadema oyeee, tushawazoe Kwa sera za chadema hata barabara za rami zisingejengwa na ndio maana kina halima mdee walipinga kujenga barabara hata jimboni kwake Kwa kua haina faida Kwa mtu mmoja mmoja.
 
Tutasikia Mengi Sana
Ccm Hoyee!!!
Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua
 
Chadema oyeee ,tushawazoe Kwa Sera za chadema hata barabara za rami zisingejengwa na ndio maana kina halima mdee walipinga kujenga barabara hata jimboni kwake Kwa kua haina faida Kwa mtu mmoja mmoja
Jana mkuu anapita kwenye tren watu wanalilia maji na shule ikabidi aanzishe harambee kuchangisha pesa. Mjifunze vipaombele vya kumsaidia mwananchi hamjengi hayo kwa faida ya mbuzi na muache miradi ya show off, sasa barabara ya lami ya nini kama hakuna hospital. Unakuta barabara zikijengewa mitaro zinapitika saafi lakini mnataka kuweka lami wakati hakuna maji nk nk sasa watu wawaeleweje.
 
Nyie mnavyotuletea humu hiyo miradi yenu ya bypass sisi tukae kimya? Na bado, tegemea projects zote zitakazokamilika tutaleta humu mzee baba.
Pelekeni huko kwenu. Sisi miradi zetu hatuziposti kwenye jukwaa zenu sasa mbona mnatuletea upupu wenu huku? Ama ni inferiority complex? Yaani lazima uringie jirani ndio uhisi vizuri? Grow up. Hata mods wenu naona wako immature sana. Threads kama hizi ambazo hazina uhusiano na Kenya zinastahili kugongwa na kung'olewa kabisa na kutupwa kwenye nyuzi za mapenzi na mapambo katika sekshen ya Tanzania.
 
Tuseme umetii kwa kuifananisha hiyo standi na mwanamke mrembooo hadi kuwekwa jukwaa la mapenzi huu mwaka lazima mtii niliwaambia mkabisha
Wewe shoga wa Dar siku hizi umetulia na kuchangia bila matusi. Umeanza kumature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…