Dodoma kama Ulaya, Stendi mpya kama airport yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

Umesomeka vizuri!
 
unapoteza muda wako tuu kushupaza shingo na povu kama umemeza Omo

bus terminal ndo ishajengwa kama unahasira meza wembe au andamana

Msalmie huyo mlevi alovunja mguu😂😂
 
tupo hapa na tunatembea kifua mbere kama tmepigwa ngumi ya mgongo

Najua inauma ila itabidi mzoee tuu Magufuli 5tena🤣🤣
Iyo pole yako baki nayo bro

#MAKE TANZANIA 'GREAT AGAIN#
Yani mimi kabisa iniume mataga kutembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo?
 
Stendi ya Dodoma ni nzuri Sana ila nimeona tatizo kwenye spika ndani ya kumbi hazitoi sauti vizuri. Hapa either ni setting bado inawasumbua au wamepiga hela wakaweka za bei ya chini.
 
Nyie ujuaji mwingi mbele Giza
Nimkoa gani haina Hospitali?
Au nimkoa gani wilaya Hakuna ujenzi wa hospital?
Mahitaji ya Mtanzania nimengi zaidi
Na Huwezi fanya kimoja vingine ukaacha

Nionyeshe kuna hospitali kubwa ngapi zinazojengwa 2015 - 2020 za ukubwa wa stendi hii Mpya ya mabasi ya mjini Moshi inayojengwa:

MUONEKANO WA STENDI YA MABASI MOSHI/ STENDI YA KIMATAIFA MOSHI KILIMANJARO

Source : watetezi tv

Stendi Mpya ya Mabasi Yajaa Maji Ujenzi ukiendelea 10 June 2020


Serikali mkoani Kilimanjaro imeongeza timu ya wataalam kufanya utafiti wa kina kubaini kiini cha chemchemi chini ya jengo la kituo kipya cha mabasi.
Source: Azam TV
 
Kaka tofautisha miradi ya kimkakati na miradi ya hospitali, yani tunazungumzia jua wewe unaleta story za mvua.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, ila kwa taarifa yako tu serikali inajenga hosipitali ya rufaa ya mkoa wa Mara lakini pia kuna ujenzi unaendelea wa hosipitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara, pia kuna hospitali a rufaa ya mkoa wa Singida.
 
Hawa jamaa hua na chuki za asili, na hata serikali ifanye jambo nzuri kiasi gani bado watatafuta kasoro tu.

Binafsi nakumbuka nilishawai kupost kwenye group la pan african kwenye FB kuhusu maendeleo aliyoyafanya JPM tangu aingia madarakani watu kibao walipendezwa na alichokifanya JPM ukizingatia group lile lina watu kutoka karibia kila nchi za Africa.

Lakini jambo la ajabu nililoliona alitokea mbongo mwenzangu na kuanza kupinga mapaka mimi mwenyewe nikawa namshangaa, nikajaribu kuangalia profile yake ya fb nikagundua jamaa ni kada wa chadema mara bahada ya kugundua tu hivyo ni kahamua kuachana naye mahana nilijua analeta siasa huku akidhani watu wote ni wanasiasa, kwa ufupi hawa jamaa wapo sana hata serikali ikiamua kumjengea kila mwananchi hospitali yake kama wanavyodai still watakuja na inshu nyingine ya kupinga, watu kama hawa ni wa kuwapuuzia tu ndio dawa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…