Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
15,410
Reaction score
35,923
Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi, taharuki imeongezeka zaidi. Inaashiria kama kuna maandalizi ya kisiri yanaendelea—iwe ni kwa hofu ya maandamano yanayodaiwa kuandaliwa na baadhi ya raia, au kuna jambo lingine kubwa linaloendelea bila kufahamika wazi.

Tukizingatia kuwa hali hii inajiri wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi, huku kukiwa na Hofu kubwa ya wito wa kumng’oa rais kupitia maandamano, swali linabaki: Je, haya ni maandalizi ya kukabiliana na maandamano hayo, au ni dalili za tukio jingine kubwa linalotayarishwa nyuma ya pazia?

Kumbuka mpwampwa kuna kambi kubwa ya kijeshi .
NOTE msini teke me natoa nilicho kiona barabarani au kuona nalo ni kosa 🤷‍♂️
downloadfile-6.jpg
 
Kanuni ni ile ile ,usidharau mwiba .

Hali siyo shwari ,mtekaji anamuogopa mtekwaji kama ilivyo kwa mtekwaji anavyomuogopa mtekaji.

Shika hii :-
Taarifa za mpasuko wa JESHI NDIZO zinazozalisha hali ya tahadhari
 
Kanuni ni ile ile ,usidharau mwiba .

Hali siyo shwqri ,mtekaji anamuogopa mtekwaji kama ilivyo kwa mtekwaji anavyomuogopa mtekaji.

Shika hii :-
Taarifa za mpasuko wa JESHI NDIZO zinazozalisha hali ya tahadhari
Hii mvt hata hapa eagle house usiku kucha mipishano. Soon wakuu nawambia mtasikia mlio kama sio leo kesho
 
Usihofu Mkuu, hiyo ni hali ya kawaida ukizingatia;

Dodoma ndipo yalipo Makao Makuu ya Nchi, pamoja na Vyombo vyake vya Usalama
Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
 
Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja

Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho

Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH

Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
 
Yeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
 
Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja

Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho

Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH

Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
Huyo Mafwele soon mtasikia kilio chake( na bila kujia ile audio kajimaliza na watu wameishapata Justification ya kufanya walichopanga mda mrefu ). Hii nchi sio wote wajinga na sio wote hawana hekima.

Kuna watu kilichozuia ku react direct ni hekima na roho za utulivu walizonazo.

Na sasa wameisha ona mstari mwekundu umevukwa kupita kiais na viapo vyao vinawahukumu ndani yao.
 
Back
Top Bottom