Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Eti kimtu Cha jesh la Polisi anakua juu ya wamba JWTZ..kuwateka kabisa na kujigamba kua wameisha...
Mtoto umleavyo....

Jamaa ameshashindikana, seems ana kile kikosi kazi ambacho hakihojiwi popote
 
Acha watu wapige posho mkuu..wakikaa huko huko wataingizaje ela?
 
Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
Sasa wewe ndiyo umeleta mada wanakujibu hutaki manake nini?
 
Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
Umekwisha mbwa wewe!!
 
Katoa siku tatu za nini mkuu

Fikra zako sio yaani mtu mharifu tena ateuliwe kua balozi? Mbona kama unaombea utumwa uendelee kuwepo Tanzania?
Tofautisheni ubalozi wa nyumba kumi na u ambassador au wengine wanaita high commissioner.
 
Back
Top Bottom