Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Mtazamo wangu hakuna kitakacho tokea siku mbili hizi kisicho cha kawaida, ila kutoka sasa na kuendelea hakupo kawaida tena na bahati mbaya maridhiano hayataweza kurudisha ile kawaida hata atokee msulihishi mwenye ushawishi kiasi gani

Kinacho leta mshangao usio wa kawaida ni kwa nini madaraka yametafutwa kwa nguvu kiasi hiki!
Ni ana hitajika kiasi gani katika taifa hili na uma wake kiasi kifanyike chochote ilimradi madaraka yasipotee?
 
Tatizo lenu kila mnachoona mnakimbilia kukileta mtandaoni,yani hamna lolote mtalofanya,na maandamano ya kesho ni mtandaoni .
 
Hivi huyo Mafwele amebakiza miaka mingapi kabla hajastaafu?

Wamkumbushe, yeye hana Kinga ya kutokushtakiwa
Kustaafu anaweza kustaafu muda wake ukifika ila sio kwa hali hii ya utekaji na uuaji, huwezi ukateka watu na ukajisifia kuwaua kisha unawatisha na wengine kwamba utawaua vilevile halafu watu wanabaki wanakuchekea vilevile na unafahamika wewe mtekaji na muuaji umejieleza mwenyewe unachofanya audio tunayo
 
Anachofanya, kwa kweli hakikubariki. Ni kinyume na maadili pamoja na miiko ya kazi yake

Nina wasiwasi, huenda amekuwa akitumiwa kufanya hayo tangu enzi za JPM

Wale watakao bahatika kuishi na kumwona akistaafu, watakuja kusimulia aina ya maisha yake

Kwani atakuwa amejitengenezea maadui wengi mno
 
Mfumo ukisha kukataa, hata uwe na ulinzi wa nani, utakukalisha chini. Huyo kawa kama condom kwa sasa hivi
Mungu atupe maisha marefu tuje kuona mwisho wa hawa wabaya wetu

Kuna Mwaka nilikutana na Alfred Tibaigana, aliyewahi kuwa Mkuu wa Polisi DSM miaka fulani

Hana walinzi, yupo tu japo alikuwa na manati yake ya mzungu kiunoni

Imagine unakutana na Vijana wanaamua kukulipizia kisasi wakati huo wa retirement age yako
 
Mkuu, sio mbali nitakukumbusha November hizi convo.

Labda kama watapata bahati ya kuniua leo au kesho la sivyo nitakukumbusha hii convo yetu hao mbweha wamevuka mipaka, na ardhi ina demand damu yao pia kama walivyo mwaga za wengine
 
Labda wafanye hivyo, japo nashauri ateuliwe awe Balozi nje ya Nchi

Pengine mambo haya ya Utekaji ndiyo yatafikia kikomo
Mara nyingi waliofanya operation za kuhusisha kuua na kutesa watu wakimaliza hiyo mission hua wanaanza kupata changamoto za kisaikolojia, wengi wanaweza kiri hadharani kuepuka hayo wanamalizwa kimya kimya
 
Kinacho leta mshangao usio wa kawaida ni kwa nini madaraka yametafutwa kwa nguvu kiasi hiki!
Ni ana hitajika kiasi gani katika taifa hili na uma wake kiasi kifanyike chochote ilimradi madaraka yasipotee?
Mkùu fahamu kuwa mfereji unaopeleka maji sehemu hulindwa kwa wivu mkubwa na wanaonufaika na MAJI.(kumbuka mfereji kwao sio big deal bali maji)
MFEREJI wa sasa MAJI yanapita mengi na bila vizuizi njiani, lazima ulindwe.
 
Anachofanya, kwa kweli hakikubariki. Ni kinyume na maadili pamoja na miiko ya kazi yake

Nina wasiwasi, huenda amekuwa akitumiwa kufanya hayo tangu enzi za JPM

Wale watakao bahatika kuishi na kumwona akistaafu, watakuja kusimulia aina ya maisha yake

Kwani atakuwa amejitengenezea maadui wengi mno
Kuna police mmoja jina sabasita alikua na kaubabe fulani pale mjini morogoro miaka fulani, pamoja na kudili na vijana wahalifu lakini kuna wengine walikua wanaonewa sana.
Leo hii ni mstaafu , kitu tunacho kiona ameandaa jeneza na kaburi lake kwenye makazi yake, ukimsikiliza vizuri ni kama hana utulivu wa akili.

Wastaafu wengi askari wanakuwa na maisha magumu kihisia kisaikilojia na kiuchumi.

Ona hata omari mahita.
 
Yeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Katoa siku tatu za nini mkuu
Labda wafanye hivyo, japo nashauri ateuliwe awe Balozi nje ya Nchi

Pengine mambo haya ya Utekaji ndiyo yatafikia kikomo
Fikra zako sio yaani mtu mharifu tena ateuliwe kua balozi? Mbona kama unaombea utumwa uendelee kuwepo Tanzania?
 
Kuna police mmoja jina sabasita alikua na kaubabe fulani pale mjini morogoro miaka fulani, pamoja na kudili na vijana wahalifu lakini kuna wengine walikua wanaonewa sana.
Leo hii ni mstaafu , kitu tunacho kiona ameandaa jeneza na kaburi lake kwenye makazi yake, ukimsikiliza vizuri ni kama hana utulivu wa akili.

Wastaafu wengi askari wanakuwa na maisha magumu kihisia kisaikilojia na kiuchumi.

Ona hata omari mahita.
Umenikumbusha mbali sana mahita
 
Mkùu fahamu kuwa mfereji unaopeleka maji sehemu hulindwa kwa wivu mkubwa na wanaonufaika na MAJI.(kumbuka mfereji kwao sio big deal bali maji)
MFEREJI wa sasa MAJI yanapita mengi na bila vizuizi njiani, lazima ulindwe.
Nimezingatia hio maji kupita mengi bila kizuizi!
 
Back
Top Bottom