Umenikumbusha mbali sana mahita
Wakati ni ukuta.
Maandalizi ya kisiri mpaka na ww ujue kuna siri hapo sasa,,,,,,,,Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi, taharuki imeongezeka zaidi. Inaashiria kama kuna maandalizi ya kisiri yanaendelea—iwe ni kwa hofu ya maandamano yanayodaiwa kuandaliwa na baadhi ya raia, au kuna jambo lingine kubwa linaloendelea bila kufahamika wazi.
Tukizingatia kuwa hali hii inajiri wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi, huku kukiwa na Hofu kubwa ya wito wa kumng’oa rais kupitia maandamano, swali linabaki: Je, haya ni maandalizi ya kukabiliana na maandamano hayo, au ni dalili za tukio jingine kubwa linalotayarishwa nyuma ya pazia?
Kumbuka mpwampwa kuna kambi kubwa ya kijeshi .
NOTE msini teke me natoa nilicho kiona barabarani au kuona nalo ni kosa 🤷♂️
Watakutekaje wakati we mwenzao.??Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi, taharuki imeongezeka zaidi. Inaashiria kama kuna maandalizi ya kisiri yanaendelea—iwe ni kwa hofu ya maandamano yanayodaiwa kuandaliwa na baadhi ya raia, au kuna jambo lingine kubwa linaloendelea bila kufahamika wazi.
Tukizingatia kuwa hali hii inajiri wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi, huku kukiwa na Hofu kubwa ya wito wa kumng’oa rais kupitia maandamano, swali linabaki: Je, haya ni maandalizi ya kukabiliana na maandamano hayo, au ni dalili za tukio jingine kubwa linalotayarishwa nyuma ya pazia?
Kumbuka mpwampwa kuna kambi kubwa ya kijeshi .
NOTE msini teke me natoa nilicho kiona barabarani au kuona nalo ni kosa 🤷♂️
Ni kosa kuona watakutoboa machoTangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi, taharuki imeongezeka zaidi. Inaashiria kama kuna maandalizi ya kisiri yanaendelea—iwe ni kwa hofu ya maandamano yanayodaiwa kuandaliwa na baadhi ya raia, au kuna jambo lingine kubwa linaloendelea bila kufahamika wazi.
Tukizingatia kuwa hali hii inajiri wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi, huku kukiwa na Hofu kubwa ya wito wa kumng’oa rais kupitia maandamano, swali linabaki: Je, haya ni maandalizi ya kukabiliana na maandamano hayo, au ni dalili za tukio jingine kubwa linalotayarishwa nyuma ya pazia?
Kumbuka mpwampwa kuna kambi kubwa ya kijeshi .
NOTE msini teke me natoa nilicho kiona barabarani au kuona nalo ni kosa 🤷♂️
INAWEZA KUWA shida ya mafweleSasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja
Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho
Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH
Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
Emu fafanua ni nani , lini na kasemajeYeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Kwahiyo ulitaka mtu akifanya uhalifu asikamatwe na polisi kisa yeye ni Jwtz, Takukuru, Mwalimu, daktari au police wenzao?Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, TISS, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja
Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho
Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH
Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
Mida bado babu 😀Babu tulia babu
Sasa usidhubutu kwenda kupiga kura UTATEKWATangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi, taharuki imeongezeka zaidi. Inaashiria kama kuna maandalizi ya kisiri yanaendelea—iwe ni kwa hofu ya maandamano yanayodaiwa kuandaliwa na baadhi ya raia, au kuna jambo lingine kubwa linaloendelea bila kufahamika wazi.
Tukizingatia kuwa hali hii inajiri wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi, huku kukiwa na Hofu kubwa ya wito wa kumng’oa rais kupitia maandamano, swali linabaki: Je, haya ni maandalizi ya kukabiliana na maandamano hayo, au ni dalili za tukio jingine kubwa linalotayarishwa nyuma ya pazia?
Kumbuka mpwampwa kuna kambi kubwa ya kijeshi .
NOTE msini teke me natoa nilicho kiona barabarani au kuona nalo ni kosa 🤷♂️
Huyo mwamba katoa siku 3 kupitia account ipi nikachungulie kiongozi.Yeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Eti kimtu Cha jesh la Polisi anakua juu ya wamba JWTZ..kuwateka kabisa na kujigamba kua wameisha...Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja
Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho
Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH
Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
Humu tuHuyo mwamba katoa siku 3 kupitia account ipi nikachungulie kiongozi.