AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kawateka JW halafu anajitapaMafwele atafirwa muda sio mrefu
Nipo dodoma pia jioni dar kuwai maandamano kesho
Kawateka JW halafu anajitapaMafwele atafirwa muda sio mrefu
Nipo dodoma pia jioni dar kuwai maandamano kesho
Gani?Matamanio yenu yatawaua kwa presha
Mkuu wangu, soon mtaiona damu ( atavuna alichopanda ) Wenye akili na hekima , huwa wanatafuta Justification kutimiza mambo yao. Kayatimba sana,Yeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Hata audio huna mkuu tusikilize?ha hakika, hii kitu nili notes toka last week. Kuna kitu kizito sana kinapikwa na huenda leo au kesho tukasikia mlio
Haijaisha mpaka MWAKANIImeisha kaka ,tunza hii komenti
"Hakuna anaekufa mara mbili...."Haijaisha mpaka MWAKANI
Mkuu sina audio. Na hata ningekuwa nayo nisingeweka maana ningekuwa nawa expose waliotayari kulifia taifa lao kwa damu yao na jasho lao.Hata audio huna mkuu tusikilize?
Hii tofauti inayoonekana kwenye Vyombo vyetu vya Usalama, iwapo busara haitatumikaYeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Asante sama mkuu, unaelewa . Watu wakuja furahia humu leo au keshoSiyo hofu ya uchaguzi bali jambo lingine zito sana, narudia zito sana.
Kwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskariHuyo Mafwele soon mtasikia kilio chake( na bila kujia ile audio kajimaliza na watu wameishapata Justification ya kufanya walichopanga mda mrefu ). Hii nchi sio wote wajinga na sio wote hawana hekima.
Kuna watu kilichozuia ku react direct ni hekima na roho za utulivu walizonazo.
Na sasa wameisha ona mstari mwekundu umevukwa kupita kiais na viapo vyao vinawahukumu ndani yao.
Hio haiwezekani ndio yaan hahaha ngoja nicheke tuHii tofauti inayoonekana kwenye Vyombo vyetu vya Usalama, iwapo busara haitatumika
Watakuja kuumizana huko mbele ya safari
Hali ya Usalama wa Nchi, inaweza kuwa mashakani
Haiwezekani Kamanda wa Kanda ya Kipolisi, kujiona yeye ni Bora kuliko Askari wengine wa Vyombo vingine vya Ulinzi
Anawateka na anawatangaza kwamba amewateka na hawana maisha, seriously?Kwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskari
Ila alichokifanya, kitaondoa umoja na mshikamano miongoni mwa Vyombo vya Usalama
Nashauri busara itumike, otherwise Vyombo vyetu vya Usalama havitabaki vimoja baada ya Uchaguzi
Nadhani watakuwa wameitana Wakubwa ili kujaribu kuziba huo UfaHio haiwezekani ndio yaan hahaha ngoja nicheke tu
Mfumo ukisha kukataa, hata uwe na ulinzi wa nani, utakukalisha chini. Huyo kawa kama condom kwa sasa hiviKwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskari
Ila alichokifanya, kitaondoa umoja na mshikamano miongoni mwa Vyombo vya Usalama
Nashauri busara itumike, otherwise Vyombo vyetu vya Usalama havitabaki vimoja baada ya Uchaguzi
Hivi huyo Mafwele amebakiza miaka mingapi kabla hajastaafu?Anawateka na anawatangaza kwamba amewateka na hawana maisha, seriously?
Mwanzoni nlijua waliokuwa wanatekwa ni wanasiasa na wanaharakati kumbe hadi waliopo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wanapitia hayaHamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho