Hii mvt hata hapa eagle house usiku kucha mipishano. Soon wakuu nawambia mtasikia mlio kama sio leo keshoKanuni ni ile ile ,usidharau mwiba .
Hali siyo shwqri ,mtekaji anamuogopa mtekwaji kama ilivyo kwa mtekwaji anavyomuogopa mtekaji.
Shika hii :-
Taarifa za mpasuko wa JESHI NDIZO zinazozalisha hali ya tahadhari
Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapaUsihofu Mkuu, hiyo ni hali ya kawaida ukizingatia;
Dodoma ndipo yalipo Makao Makuu ya Nchi, pamoja na Vyombo vyake vya Usalama
Jeshi gani unaloongelea? Salvation Army ya pale Kilwa Road, KurasiniKanuni ni ile ile ,usidharau mwiba .
Hali siyo shwqri ,mtekaji anamuogopa mtekwaji kama ilivyo kwa mtekwaji anavyomuogopa mtekaji.
Shika hii :-
Taarifa za mpasuko wa JESHI NDIZO zinazozalisha hali ya tahadhari
Sio kawaida ving'ora toka usikuKanuni ni ile ile ,usidharau mwiba .
Hali siyo shwqri ,mtekaji anamuogopa mtekwaji kama ilivyo kwa mtekwaji anavyomuogopa mtekaji.
Shika hii :-
Taarifa za mpasuko wa JESHI NDIZO zinazozalisha hali ya tahadhari
ha hakika, hii kitu nili notes toka last week. Kuna kitu kizito sana kinapikwa na huenda leo au kesho tukasikia mlioSio kawaida ving'ora toka usiku
Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimojaSio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
Hakuna audio nyingine iliyovuja?Siyo hofu ya uchaguzi bali jambo lingine zito sana, narudia zito sana.
Yeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwaSasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja
Hamuwezi kukaa Kamati Moja ya Usalama, then mmoja anakuwa juu ya mwingine Kwa kiasi hicho
Ngoja tuone, wengine tumebahatika kuishi nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM, na Sasa SSH
Hatukuwahi kuona haya yanayoendelea kwenye Vyombo vya Usalama kama ilivyo sasa
Huyo Mafwele soon mtasikia kilio chake( na bila kujia ile audio kajimaliza na watu wameishapata Justification ya kufanya walichopanga mda mrefu ). Hii nchi sio wote wajinga na sio wote hawana hekima.Sasa Kama Kamanda Mafwele anasema amewakamata Maafisa wa JW, Takukuru, Police wenzao, Madaktari, Walimu n.k unadhani Vyombo vitabaki vimoja