Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Mkuu wangu, soon mtaiona damu ( atavuna alichopanda ) Wenye akili na hekima , huwa wanatafuta Justification kutimiza mambo yao. Kayatimba sana,
 
Wako kwenye majukumu yao ya ulinzi na usalama, shughuli zimekuwa nyingi wiki hii ya uchaguzi mjuba. Kumbuka kuwa dodnma ni mji mkuu, hayo magari ni mengi huko
 
Hii tofauti inayoonekana kwenye Vyombo vyetu vya Usalama, iwapo busara haitatumika

Watakuja kuumizana huko mbele ya safari

Hali ya Usalama wa Nchi, inaweza kuwa mashakani

Haiwezekani Kamanda wa Kanda ya Kipolisi, kujiona yeye ni Bora kuliko Askari wengine wa Vyombo vingine vya Ulinzi
 
Kwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskari

Ila alichokifanya, kitaondoa umoja na mshikamano miongoni mwa Vyombo vya Usalama

Nashauri busara itumike, otherwise Vyombo vyetu vya Usalama havitabaki vimoja baada ya Uchaguzi
 
Hio haiwezekani ndio yaan hahaha ngoja nicheke tu
 
Kwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskari

Ila alichokifanya, kitaondoa umoja na mshikamano miongoni mwa Vyombo vya Usalama

Nashauri busara itumike, otherwise Vyombo vyetu vya Usalama havitabaki vimoja baada ya Uchaguzi
Anawateka na anawatangaza kwamba amewateka na hawana maisha, seriously?
 
Kwasasa anajiona hivyo Kwa kuwa amepewa Ulinzi wa maaskari

Ila alichokifanya, kitaondoa umoja na mshikamano miongoni mwa Vyombo vya Usalama

Nashauri busara itumike, otherwise Vyombo vyetu vya Usalama havitabaki vimoja baada ya Uchaguzi
Mfumo ukisha kukataa, hata uwe na ulinzi wa nani, utakukalisha chini. Huyo kawa kama condom kwa sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…