KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 438
- 758
Hili la uchaguzi likipita watamneutralise haraka sanaHivi huyo Mafwele amebakiza miaka mingapi kabla hajastaafu?
Wamkumbushe, yeye hana Kinga ya kutokushtakiwa
Kustaafu anaweza kustaafu muda wake ukifika ila sio kwa hali hii ya utekaji na uuaji, huwezi ukateka watu na ukajisifia kuwaua kisha unawatisha na wengine kwamba utawaua vilevile halafu watu wanabaki wanakuchekea vilevile na unafahamika wewe mtekaji na muuaji umejieleza mwenyewe unachofanya audio tunayoHivi huyo Mafwele amebakiza miaka mingapi kabla hajastaafu?
Wamkumbushe, yeye hana Kinga ya kutokushtakiwa
Anachofanya, kwa kweli hakikubariki. Ni kinyume na maadili pamoja na miiko ya kazi yakeKustaafu anaweza kustaafu muda wake ukifika ila sio kwa hali hii ya utekaji na uuaji, huwezi ukateka watu na ukajisifia kuwaua kisha unawatisha na wengine kwamba utawaua vilevile halafu watu wanabaki wanakuchekea vilevile na unafahamika wewe mtekaji na muuaji umejieleza mwenyewe unachofanya audio tunayo
Labda wafanye hivyo, japo nashauri ateuliwe awe Balozi nje ya NchiHili la uchaguzi likipita watamneutralise haraka sana
Jamaa ni boss wa Vyombo vyote vya UlinziMwanzoni nlijua waliokuwa wanatekwa ni wanasiasa na wanaharakati kumbe hadi waliopo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wanapitia haya
Hakuna lolote..😅Imeisha kaka ,tunza hii komenti
Mungu atupe maisha marefu tuje kuona mwisho wa hawa wabaya wetuMfumo ukisha kukataa, hata uwe na ulinzi wa nani, utakukalisha chini. Huyo kawa kama condom kwa sasa hivi
Mkuu, sio mbali nitakukumbusha November hizi convo.Mungu atupe maisha marefu tuje kuona mwisho wa hawa wabaya wetu
Kuna Mwaka nilikutana na Alfred Tibaigana, aliyewahi kuwa Mkuu wa Polisi DSM miaka fulani
Hana walinzi, yupo tu japo alikuwa na manati yake ya mzungu kiunoni
Imagine unakutana na Vijana wanaamua kukulipizia kisasi wakati huo wa retirement age yako
Mara nyingi waliofanya operation za kuhusisha kuua na kutesa watu wakimaliza hiyo mission hua wanaanza kupata changamoto za kisaikolojia, wengi wanaweza kiri hadharani kuepuka hayo wanamalizwa kimya kimyaLabda wafanye hivyo, japo nashauri ateuliwe awe Balozi nje ya Nchi
Pengine mambo haya ya Utekaji ndiyo yatafikia kikomo
Mkùu fahamu kuwa mfereji unaopeleka maji sehemu hulindwa kwa wivu mkubwa na wanaonufaika na MAJI.(kumbuka mfereji kwao sio big deal bali maji)Kinacho leta mshangao usio wa kawaida ni kwa nini madaraka yametafutwa kwa nguvu kiasi hiki!
Ni ana hitajika kiasi gani katika taifa hili na uma wake kiasi kifanyike chochote ilimradi madaraka yasipotee?
Kuna police mmoja jina sabasita alikua na kaubabe fulani pale mjini morogoro miaka fulani, pamoja na kudili na vijana wahalifu lakini kuna wengine walikua wanaonewa sana.Anachofanya, kwa kweli hakikubariki. Ni kinyume na maadili pamoja na miiko ya kazi yake
Nina wasiwasi, huenda amekuwa akitumiwa kufanya hayo tangu enzi za JPM
Wale watakao bahatika kuishi na kumwona akistaafu, watakuja kusimulia aina ya maisha yake
Kwani atakuwa amejitengenezea maadui wengi mno
Katoa siku tatu za nini mkuuYeye ndie mkubwa zaidi kuliko JW yaan JW wanaonekana vilaza tu anawafanya anavyotaka ikiwemo kuwatusi na kuwatuita wao ni wahuni amewakimbiza Nchini, kumbuka kuna mwamba ametoa siku 3 na haifahamiki yule ni nani ila mimi simchukulii poa mtu yoyote anaeonekana mdogo kumbuka mtu mdogo ndie anaemwangusha mtu mkubwa
Fikra zako sio yaani mtu mharifu tena ateuliwe kua balozi? Mbona kama unaombea utumwa uendelee kuwepo Tanzania?Labda wafanye hivyo, japo nashauri ateuliwe awe Balozi nje ya Nchi
Pengine mambo haya ya Utekaji ndiyo yatafikia kikomo
Umenikumbusha mbali sana mahitaKuna police mmoja jina sabasita alikua na kaubabe fulani pale mjini morogoro miaka fulani, pamoja na kudili na vijana wahalifu lakini kuna wengine walikua wanaonewa sana.
Leo hii ni mstaafu , kitu tunacho kiona ameandaa jeneza na kaburi lake kwenye makazi yake, ukimsikiliza vizuri ni kama hana utulivu wa akili.
Wastaafu wengi askari wanakuwa na maisha magumu kihisia kisaikilojia na kiuchumi.
Ona hata omari mahita.
Nimezingatia hio maji kupita mengi bila kizuizi!Mkùu fahamu kuwa mfereji unaopeleka maji sehemu hulindwa kwa wivu mkubwa na wanaonufaika na MAJI.(kumbuka mfereji kwao sio big deal bali maji)
MFEREJI wa sasa MAJI yanapita mengi na bila vizuizi njiani, lazima ulindwe.