Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

Maandalizi ya kisiri mpaka na ww ujue kuna siri hapo sasa,,,,,,,,

nyie watu mna hatari
 
Watakutekaje wakati we mwenzao.??
 
Ni kosa kuona watakutoboa macho
 
INAWEZA KUWA shida ya mafwele
 
Emu fafanua ni nani , lini na kasemaje
 
Kwahiyo ulitaka mtu akifanya uhalifu asikamatwe na polisi kisa yeye ni Jwtz, Takukuru, Mwalimu, daktari au police wenzao?

Mwenye mamlaka ya kupeleleza makosa ya jinai ni polisi ukifanya utakamatwa na polisi na watakupeleka mahakamani hivyo hivyo kama ilivyo kwa askari magereza ukifungwa watakuweka kwenye ulinzi wao uwe Jwtz, police, takukuru, TISS, au vyovyote .

Hakuna aliejuu ya sheria ukivunja utashughulikiwa.
 
Sasa usidhubutu kwenda kupiga kura UTATEKWA
 
Huyo mwamba katoa siku 3 kupitia account ipi nikachungulie kiongozi.
 
Eti kimtu Cha jesh la Polisi anakua juu ya wamba JWTZ..kuwateka kabisa na kujigamba kua wameisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…