Mtoto umleavyo....Eti kimtu Cha jesh la Polisi anakua juu ya wamba JWTZ..kuwateka kabisa na kujigamba kua wameisha...
Tatizo amepewa Mamlaka makubwa ambayo seems hayahojiwi popoteINAWEZA KUWA shida ya mafwele
Genge la watekaji na wauaji, au sio?Mtoto umleavyo....
Jamaa ameshashindikana, seems ana kile kikosi kazi ambacho hakihojiwi popote
Sasa wewe ndiyo umeleta mada wanakujibu hutaki manake nini?Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
hapana wakati wa cuf wakiwa ngangari polisi wakajibu wao ngunguri π π π πWakati ni ukuta.
Umekwisha mbwa wewe!!Sio hali ya kawaida mkuu. Kuna vitu havipo sawa. Nakaa karibu kabisa ma makao makuu ya vipepeo . Naona movement za kutisha na katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabia na miaka 2020 na hata 2015 nikiwa naishi hapa hapa
Naipata jf BILA vpn kulikoni
Tofautisheni ubalozi wa nyumba kumi na u ambassador au wengine wanaita high commissioner.Katoa siku tatu za nini mkuu
Fikra zako sio yaani mtu mharifu tena ateuliwe kua balozi? Mbona kama unaombea utumwa uendelee kuwepo Tanzania?
Watoto wadogo sana nyieUmekwisha mbwa wewe!!