Naomba uweke alama ya kuuliza tafadhali... unless umeiacha makusudi..manake na wewe ni mtaalam sana...Afanyiwe operation ya koo halafu anyonge tai!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uweke alama ya kuuliza tafadhali... unless umeiacha makusudi..manake na wewe ni mtaalam sana...Afanyiwe operation ya koo halafu anyonge tai!.
P
Kikubwa uzushi wa kifo........... Au watu mlipanga kum JPMMkutano wa COP28 Dubai....unganisha nukta...nisome kwa jicho la tatu
Misheni imefeli,,, mkajipange upyaWakkikujibu unitag. Hizi ni picha za 2020
Utajuaje kama sio TISS!?....17 I will not die but live, and will proclaim what the LORD has done.
Zabuti ya 118.
Badala ya kupunguza maswali nukuu kama hii inaongeza maswali.
Kazi maalum. Toka lini kiongozi akaenda kufanya kazi maalim kimya kimya? Kwani yeye TISS?
Pia ametuondoa wasiwasi kwamba yenye siyo robotoid.
Mtu ametoweka,hataki kusema kusema alikwenda wapi,lakini sasa anatuondoa wasiwasi kwamba yeye siyo robotoid.
Tutaamini vipi hiyo picha ni ya leo!
Watakuja na hoja, kakatwa vidole...kumekucha, subiri chadema waje
Wenye gubu hawaachi maneno. Watasema hii picha ya mwaka jana!Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!!
Kama mnadhani mtafanikiwa kama mlivyofanikiwa kipindi kile basi safari hii mmechemka Mungu wetu hawezi kuruhusu hilo liwe labda atake yeye
Hii tabia ya kuzushia watu vifo siyo nzuri hata kidogo!! Na ingekua ni busara hawa wahuni washughulikiwe humo humo ndani ya chama na mtandao wao!!Lakini inakua ni vigumu maana wana mizizi kila mahali.
=======
Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Jumapili leo Desemba 10, 2023. Ibada hiyo imeongozwa na Padre Dionis Paskal Safari.
Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo, Dk Mpango amewaasa Watanzania kutumia vema mitandao ya kijamii.
Amesema matumizi yasiofaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa yakiumiza watu wengi hivyo yampasa kila mmoja kutumia vema pamoja na kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu.
Makamu wa Rais amewashukuru waumini hao kwa kuendelea kumuombea ili aweze kutekeleza vema majukumu yake.
View attachment 2838329
Kabisa inawezekana, tuseme kingetokea kitu kibaya kwa makamo keshokutwa Chadema wangekimbilia twita " tuliwaambia mtangaze mapema mkakataa"Unaweza kukuta hata Wakati Ule wa Shujaa taarifa ya Katelefoni pale masjid ilikuwa sahihi 😂😂
Na angejua tunavyompenda asingethubutu hata kuongea huo utopolo wake.Ningekuwa yeye siongelei kabisa hizo tuhuma.
😂😂😂Kabisa inawezekana, tuseme kingetokea kitu kibaya kwa makamo keshokutwa Chadema wangekimbilia twita " tuliwaambia mtangaze mapema mkakataa"
Ni yeye kweli au ni mambo ya AIMlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!!
Kama mnadhani mtafanikiwa kama mlivyofanikiwa kipindi kile basi safari hii mmechemka Mungu wetu hawezi kuruhusu hilo liwe labda atake yeye
Hii tabia ya kuzushia watu vifo siyo nzuri hata kidogo!! Na ingekua ni busara hawa wahuni washughulikiwe humo humo ndani ya chama na mtandao wao!!Lakini inakua ni vigumu maana wana mizizi kila mahali.
=======
Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Jumapili leo Desemba 10, 2023. Ibada hiyo imeongozwa na Padre Dionis Paskal Safari.
Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo, Dk Mpango amewaasa Watanzania kutumia vema mitandao ya kijamii.
Amesema matumizi yasiofaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa yakiumiza watu wengi hivyo yampasa kila mmoja kutumia vema pamoja na kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu.
Makamu wa Rais amewashukuru waumini hao kwa kuendelea kumuombea ili aweze kutekeleza vema majukumu yake.
View attachment 2838329
Tundu Lissu anahisikiaje aisee?View attachment 2838437
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amewashukuru Watanzania kwa kumuombea huku akibainisha kuwa alikuwa nje ya nchi kwa shughuli maalumu takribani mwezi mmoja.
“Asanteni sana kwa kuniombea, yamesemwa mengi si ndio? Na wengine bado wanasema mimi ni mzuka..
“Muwe na amani nipo salama nilikwenda nje kufanya shughuli malum takribani mwezi mmoja sijapungua hata kidogo si ndio?... Wapo wengi walioumizwa na maneno ambayo hayana msingi, wale waliokuwa wanatuma picha yangu na mshumaa pembeni…. wengine walisema mzee amekata moto…muda wangu bado,”amesema Dk Mpango.
Dk Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Jumapili leo Desemba 10, 2023. Ibada hiyo imeongozwa na Padre Dionis Paskal Safari.
Yaani nyie mmzushie wee, halafu eti yeye anyamaze tu. Mbona nyie hamkunyamaza. Yamewashuka kabisa, mnakuja na makasiriko. Evil people, shame on you.Anyamaze, dunia ya sasa haina nafasi ya uongo.
Anaweza kutajiwa hosp. Alipokuwa anatibiwa, ugonjwa hata daktari wake.
Mambo mengine kama kiongozi unayanyamazia tu.
Ameahau corona ilivyomdhalilisha?