Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.Mtu Yeyote akienda sehemu nzuri lazima uone sehemu uliyoizoea ni mbaya. Mfano ukikaa Dar ukija mkoani unapaona pabaya na pamechoka. Ukisafiri kwenda Dubai, kisha ukija Dar utaiona Dar ni mbaya. Ukisafiri kwenda Ulaya na Marekani unaona Uarabuni ni pabaya na Dar ni kama jalala.
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Ulirudi bongo kutoka wapi mkuu Burundi au?Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
KudosNyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.
Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
Kuna mkoa niliendaga mkuu nilikua natamani siku zikimbie tu ziishe haraka haraka nirudi zangu Dar.Watu mnaokaa dar huko mikoani sijui mnapaonaje majigambo kibao.
HV Ni kweli alikataa kata kushuka au uzushi kumbe Tanzania hatujaanza kuwashobokea wasanii wa nje leoSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Kama serikali ikibaki na msimamo wa Dodoma kuwa jiji. Basi huko mbeleni Dodoma utakuwa mji mzuri na wenye nguvu. Shida ya Dodoma ni MAJI!Wee Ni mtu wa AR chuga ila kweli mbeya hpn jamani ile ni Kijiji kubwa siyo jiji kbsa lile ddm na Arusha na dar ziwe majiji ova
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
SongweYaani watu wa Jf wataanza kuisema Lindi wataisema Kilimanjaro wataisema Kagera, Shinyanga, Ruvuma Yani Kila Mkoa kwao ni takataka
Hahahh wapi huko sema mikoani hakuna uchangamfu kama ilivyo darKuna mkoa niliendaga mkuu nilikua natamani siku zikimbie tu ziishe haraka haraka nirudi zangu Dar
Mkoa mmoja wa nyanda za juu Kusini mkuu.hahahh wapi huko sema mikoani hakuna uchangamfu kama ilivyo Dar