vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mwanza ni jiji ila mbeya na tanga hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na vigezo hivyo, mimi bado siafiki Dodoma kuwa jijiMtu Yeyote akienda sehemu nzuri lazima uone sehemu uliyoizoea ni mbaya. Mfano ukikaa Dar ukija mkoani unapaona pabaya na pamechoka. Ukisafiri kwenda Dubai, kisha ukija Dar utaiona Dar ni mbaya. Ukisafiri kwenda Ulaya na Marekani unaona Uarabuni ni pabaya na Dar ni kama jalala.
Vatican city kuna watu hawazidi elfu kumi,kwa nini isiitwe vatican villageNyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.
Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
Stori za kwenye vilabu vya mbegeSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Mbeya nimewahi kuishi miaka 10+, kile ni kijiji tu. Mwanza niliwahi kuishi mwezi mmoja - nyumba zinachungulia kutokea milimani.. tanga ni takataka tupu, dodoma nipo saa hizi naona upumbavu mtupu.Mbeya the only issue ni Money circulation na hiyo haizuii kuwa jiji. Laumu investments na ndio ujue why watu wanalalama Serikali kuhamia Dom. Wewe umetembelea na hujaishi. Kaishi ndo urudi hapa Mwana Dar.
Safari inakuwa ndefu zaidi pale ambapo maeneo ambayo yako kwenye hatua za ujima yanapoitwa majiji.Yaan Bado tunasafari ndefu kama nchi...tofauti ya dar na mwanza labda maghorofa tu na ukubwa wa mji lakin mengine yote yale yale
Arusha ni ndogo sana japo kwa uzoefu wangu (nilikaa pale mwezi mzima 2011 na huwa napita mara kadhaa) naona ina hadhi na muonekano mzuri maeneo mengi kuliko sehemu zingine. Kwa tz napaona ni sehemu ya pili baada ya dar.Arusha Umeiacha Kwa kigezo kipi!
Upuuzi mtupu
Ukikaa nje hata wiki lazima uione tofauti....Ukute kakaa USA Wiki Moja TU na Tayari akaiona Nchi yake alikozaliwa Ina Harufu!!
Itakuwa ulifikia uswahilini ulipoenda dar.Kuna sehemu nyumba zimesambaa kama takataka Tanzania hii kama Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahi mirembe kijana.. kwahiyo unataka tusiangalie hali ya maisha?Yaan wewe umeangalia hali ya maisha tu na majengo tu baaasi
Tukupime Medura na Celebral Hemisphere sio bure hivi hivi utakua na walakini mkuu
Kama hauangalii hali ya maisha, mpangilio na mazingira basi hakuna vigezo hapo.Nyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.
Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
😂😂😂Wahi mirembe kijana.. kwahiyo unataka tusiangalie hali ya maisha?
Hapa hakuna majigambo yoyote, ni observation tu.Watu mnaokaa dar huko mikoani sijui mnapaonaje majigambo kibao.
Arusha huwa naenda mara kadhaa lakini sio mkazi wa pale. Kwa tz ukiondoa dar sehemu ya pili kwa uafadhali ni Arusha.Wee Ni mtu wa AR chuga ila kweli mbeya hpn jamani ile ni Kijiji kubwa siyo jiji kbsa lile ddm na Arusha na dar ziwe majiji ova
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Arusha ni wapi kuna mpangilio mzuri wa majengo na nyumba? Arusha na Mbeya kuko sawa tuWee Ni mtu wa AR chuga ila kweli mbeya hpn jamani ile ni Kijiji kubwa siyo jiji kbsa lile ddm na Arusha na dar ziwe majiji ova
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanza ile ambayo nyumba zinachungulia kutokea kwenye milima?🤣Mwanza ni jiji ila mbeya na tanga hapana