Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mtoa mada ni watu wale wa Arusha useme kwamba Arusha ni bora mbele ya mwanza ni mpumbavu tu anaweza kuamini ujinga wako unatumia nguvu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kushangaa, teja mtafuna mkokaa huku akishushia Kiwingu akawa na reason.Arusha ni ndogo sana japo kwa uzoefu wangu (nilikaa pale mwezi mzima 2011 na huwa napita mara kadhaa) naona ina hadhi na muonekano mzuri maeneo mengi kuliko sehemu zingine. Kwa tz napaona ni sehemu ya pili baada ya dar.
🤣🤣🤣🤣🤣Jinga hilo linatafuta point Arusha mapori viji hotels kadhaa vya wazungu wanababaika, wenyewe hata maji mazuri hawana wezi kibao watu kuvaa manguo makubwaNilitaka kushangaa, teja mtafuna mkokaa huku akishushia Kiwingu akawa na reason.
Hayo majiji hayana mbege na mkokaa, kaa kwenu utulie
Kwa aina hii ya uandishi sina mashaka utakuwa unakaa ilemi kule kwenye kijiji cha mbeya mnachokiita jiji.Nilitaka kushangaa, teja mtafuna mkokaa huku akishushia Kiwingu akawa na reason.
Hayo majiji hayana mbege na mkokaa, kaa kwenu utulie
Arusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.🤣🤣🤣🤣🤣Jinga hilo linatafuta point Arusha mapori viji hotels kadhaa vya wazungu wanababaika, wenyewe hata maji mazuri hawana wezi kibao watu kuvaa manguo makubwa
Huijui dar,we unakaa tandale au vingungutiKuna sehemu nyumba zimesambaa kama takataka Tanzania hii kama Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Huijui dar,we unakaa tandale au vingunguti
Arusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.
Kiufupi kijana ushamba wako wa Arusha hujielewi kwanza safisheni meno muwe hata na tabasamu hamleti mzuka mwili tu hamjipatilizi choka mbaya kuvaa manguo makubwa wengi mnaonekana kama wezi mtu aliykuwa mstaarabu huwezi kukaa jiji la ovyo Kama chuga labda sehemu wanazoishi wazungu ,watu wenye akili za vichaa pekee ndo wanaamini Kuna mji pale while wengi wenu kushobokea wazunguArusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.
Wewe unakaa wapi? Tuanzie hapo.Kiufupi kijana ushamba wako wa Arusha hujielewi kwanza safisheni meno muwe hata na tabasamu hamleti mzuka mwili tu hamjipatilizi choka mbaya kuvaa manguo makubwa wengi mnaonekana kama wezi mtu aliykuwa mstaarabu huwezi kukaa jiji la ovyo Kama chuga labda sehemu wanazoishi wazungu ,watu wenye akili za vichaa pekee ndo wanaamini Kuna mji pale while wengi wenu kushobokea wazungu
Uko sahihi kabisa mkuu.Majiji ni Arusha na Dar ata mtu akitoka wapi anapata quality services.
Mwanza ile ambayo nyumba zinachungulia milimani?Mtoa mada ni watu wale wa Arusha useme kwamba Arusha ni bora mbele ya mwanza ni mpumbavu tu anaweza kuamini ujinga wako unatumia nguvu sana
Kweli, hata hiyo mwanza yenyewe uchafu mtupu.Tanga, Dom na Mbeya big no.
Unaambiwa ukweli unaleta mbwembwe huo ndo ukweli kijana usiwe mbishi nyie mnajifanya mko juu kutokana na ubaguzi ila hamna kitu cha kuringia zaidi ya vile ni biashara za watu kwa ajili ya wazungu sio nyie wavaa mashati makubwa ...Kuna mzungu anakunywa maji meno yameoza zipo mashine za kuondoa fluoride sasa nyie mbona wengi meno Yana kutu pesa hamna ? Ya kununua mashine mbaki mbwembwe..Wewe unakaa wapi? Tuanzie hapo.
Leta drone hapa ya mapori yenu watu wenyewe wengi kuvaa kama wezi ,manguo mchafu maviatu miguu inanukaMwanza ile ambayo nyumba zinachungulia milimani?
Halina tatizo kabisa kikubwa ni dar, kila mkoa una sehemu Zina nafuu Nina uwakika mikoa mingi ukitoa Kilimanjaro , watanzania wanaishi ukiachana na wageni ni maskini kama unabisha njoo hapa hakuna sehemu watanzania utakuta wengi hata mahotel majengo unakuta hawajai hata kuingia kusifia majengo.Mtu unakuta anaishi dar vingunguti mbaya zaidi kapanga chumba kimoja full joto na harufu nzitooooo halafu anakuwa na mbwembwe eti anaishi dar😂😂😂😂............
Sio kweli.....Halina tatizo kabisa kikubwa ni dar, kila mkoa una sehemu Zina nafuu Nina uwakika mikoa mingi ukitoa Kilimanjaro , watanzania wanaishi ukiachana na wageni ni maskini kama unabisha njoo hapa hakuna sehemu watanzania utakuta wengi hata mahotel majengo unakuta hawajai hata kuingia kusifia majengo.
Nenda mikoani ukaone utakuta sehemu za hadhi ya juu Kuna waarabu, wahindi Wazungu na wachina .
Leta ushahidi wacha zako tumezunguka kote ushawai kuona mzungu anavaa Yale manguo makubwa na maviatu mchafu mchafu ,ushawai kuona wanaishi uswahiliniSio kweli.....
Niambie ukitoa dar mji gani ulijenga maukumbi na mahotel kwa kutarget watanzania kama sio watalii?Sio kweli.....
Umeulizwa unaishi wapi umetoa povu tupu. Mimi sikai arusha na wala sio mwenyeji wa huko.Unaambiwa ukweli unaleta mbwembwe huo ndo ukweli kijana usiwe mbishi nyie mnajifanya mko juu kutokana na ubaguzi ila hamna kitu cha kuringia zaidi ya vile ni biashara za watu kwa ajili ya wazungu sio nyie wavaa mashati makubwa ...Kuna mzungu anakunywa maji meno yameoza zipo mashine za kuondoa fluoride sasa nyie mbona wengi meno Yana kutu pesa hamna ? Ya kununua mashine mbaki mbwembwe..
Unachokosea unapenda kuattack bila ya kigezo mfano Arusha kw mpangilio wa nyumba inaweza kuizidi Tanga au musoma lete drone footage hapa sibishani ni nyie kwa vile akili hamna mmejaa ubaguzi wengi ni vibaka