Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Arusha ni ndogo sana japo kwa uzoefu wangu (nilikaa pale mwezi mzima 2011 na huwa napita mara kadhaa) naona ina hadhi na muonekano mzuri maeneo mengi kuliko sehemu zingine. Kwa tz napaona ni sehemu ya pili baada ya dar.
Nilitaka kushangaa, teja mtafuna mkokaa huku akishushia Kiwingu akawa na reason.

Hayo majiji hayana mbege na mkokaa, kaa kwenu utulie
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    4.2 KB · Views: 8
  • download.jpeg
    download.jpeg
    4.1 KB · Views: 9
Nilitaka kushangaa, teja mtafuna mkokaa huku akishushia Kiwingu akawa na reason.

Hayo majiji hayana mbege na mkokaa, kaa kwenu utulie
🤣🤣🤣🤣🤣Jinga hilo linatafuta point Arusha mapori viji hotels kadhaa vya wazungu wanababaika, wenyewe hata maji mazuri hawana wezi kibao watu kuvaa manguo makubwa
 
Kwa aina hii ya uandishi sina mashaka utakuwa unakaa ilemi kule kwenye kijiji cha mbeya mnachokiita jiji.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Jinga hilo linatafuta point Arusha mapori viji hotels kadhaa vya wazungu wanababaika, wenyewe hata maji mazuri hawana wezi kibao watu kuvaa manguo makubwa
Arusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.
 
Huijui dar,we unakaa tandale au vingunguti
Arusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.
Arusha hayo yapo pale unga limited lakini maeneo mengi yana hadhi kubwa.
Kiufupi kijana ushamba wako wa Arusha hujielewi kwanza safisheni meno muwe hata na tabasamu hamleti mzuka mwili tu hamjipatilizi choka mbaya kuvaa manguo makubwa wengi mnaonekana kama wezi mtu aliykuwa mstaarabu huwezi kukaa jiji la ovyo Kama chuga labda sehemu wanazoishi wazungu ,watu wenye akili za vichaa pekee ndo wanaamini Kuna mji pale while wengi wenu kushobokea wazungu
 
Wewe unakaa wapi? Tuanzie hapo.
 
Wewe unakaa wapi? Tuanzie hapo.
Unaambiwa ukweli unaleta mbwembwe huo ndo ukweli kijana usiwe mbishi nyie mnajifanya mko juu kutokana na ubaguzi ila hamna kitu cha kuringia zaidi ya vile ni biashara za watu kwa ajili ya wazungu sio nyie wavaa mashati makubwa ...Kuna mzungu anakunywa maji meno yameoza zipo mashine za kuondoa fluoride sasa nyie mbona wengi meno Yana kutu pesa hamna ? Ya kununua mashine mbaki mbwembwe..

Unachokosea unapenda kuattack bila ya kigezo mfano Arusha kw mpangilio wa nyumba inaweza kuizidi Tanga au musoma lete drone footage hapa sibishani ni nyie kwa vile akili hamna mmejaa ubaguzi wengi ni vibaka
 
Mtu unakuta anaishi dar vingunguti mbaya zaidi kapanga chumba kimoja full joto na harufu nzitooooo halafu anakuwa na mbwembwe eti anaishi dar😂😂😂😂............
Halina tatizo kabisa kikubwa ni dar, kila mkoa una sehemu Zina nafuu Nina uwakika mikoa mingi ukitoa Kilimanjaro , watanzania wanaishi ukiachana na wageni ni maskini kama unabisha njoo hapa hakuna sehemu watanzania utakuta wengi hata mahotel majengo unakuta hawajai hata kuingia kusifia majengo.

Nenda mikoani ukaone utakuta sehemu za hadhi ya juu Kuna waarabu, wahindi Wazungu na wachina .
 
Sio kweli.....
 
Unaambiwa ukweli unaleta mbwembwe huo ndo ukweli kijana usiwe mbishi nyie mnajifanya mko juu kutokana na ubaguzi ila hamna kitu cha kuringia zaidi ya vile ni biashara za watu kwa ajili ya wazungu sio nyie wavaa mashati makubwa ...Kuna mzungu anakunywa maji meno yameoza zipo mashine za kuondoa fluoride sasa nyie mbona wengi meno Yana kutu pesa hamna ? Ya kununua mashine mbaki mbwembwe..

Unachokosea unapenda kuattack bila ya kigezo mfano Arusha kw mpangilio wa nyumba inaweza kuizidi Tanga au musoma lete drone footage hapa sibishani ni nyie kwa vile akili hamna mmejaa ubaguzi wengi ni vibaka
Umeulizwa unaishi wapi umetoa povu tupu. Mimi sikai arusha na wala sio mwenyeji wa huko.
 
Back
Top Bottom