Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
images (1).jpeg
na huyu ni harmonize yuko babu yako kijijini kwenu? Acheni stori za vijiweni kaeni vizuri na wazee wenu mpate madini elekezi
 
...Achana na Stori za Vijiweni zisizo na Ukweli za Kujidhalilisha Nchi Yako!
Hii ñi Stori ya Kijiweni.
Nani alikuambia MJ aliwahi kuja hapa na akakatalia ndani ya Ndege??
Punguza kukaa Vijiweni!
Mj alikuja Tanzania na akapokelewa na mzee Mwinyi pale ikulu magogoni. Sasa hawa watoto wa mwaka 2000, wanaleta hadithi za vijiweni wakati wanavuta cannabis [emoji1787]
USA presidents walio fika Tanzania, Ni Clinton,G.Bush,na juzi hapa kaja Obama JK akiwa madarakani, Sasa Huyo Nani mkubwa kuliko hao viongozi, mpaka aseme Tanzania Inanuka?
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
 
Nyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.

Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.

Idadi ya watu pekee haikidhi. Kiukweli bado kuna majiji yamewaushwa tu. Kwa baadhi ya nchi majiji kama Mbeya, Dodoma na Tanga kiukweli ni Manispaa tu. Na pia kuna manispaa bado zilipaswa ziji upgrade taratibu kufikia Manispaa kwa mfano Lindi.
Ila kwa utaratibu tuliojiwekea ni majiji
 
Ila kwa utaratibu tuliojiwekea

Idadi ya watu pekee haikidhi. Kiukweli bado kuna majiji yamewaushwa tu. Kwa baadhi ya nchi majiji kama Mbeya, Dodoma na Tanga kiukweli ni Manispaa tu. Na pia kuna manispaa bado zilipaswa ziji upgrade taratibu kufikia Manispaa kwa mfano Lindi.
Ila kwa utaratibu tuliojiwekea ni majiji
Unatakiwa useme ni kigezo gani kinachotakiwa, sio kushia tu kwamba idadi ya watu pekee haikidhi, otherwise huna hoja.
 
Unapaswa kwanza utambue vigezo vinavyoangaliwa kupandisha from the scratch- halmashauri - kuwa manispaa,- manispaa kuwa mji- mji kuwa jiji... Usifikiri wanakurupuka tu kupandisha hadhi kama ulivyokurupuka! Kuja kuandika hapa! kwa vigezo vya majengo. Hivi ni baadhi tu ya vigezo, 1, population growth... Wengine watajazia
Ndio maana alisema vigezo viboreshwe iko kutoa uhalisia. Ni sawa na kusema atakayepata alama 30% hiyo ni A
 
Ndio maana alisema vigezo viboreshwe iko kutoa uhalisia. Ni sawa na kusema atakayepata alama 30% hiyo ni A
Nyie wapenda maghorofa marefu mtatusumbua sana.

Vigezo vyenye maana kwa mtu mwenye akili timamu ni wingi wa watu na mapato yanayopatikana. Hivyo vya mpangilio wa makazi sijui na nini? Usafi?! ni vitu visivyo na maana.
 
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
Ukiwa juu ya ndege ni kweli maeneo mengi yanaonekana ni mabaya. Ila pata fursa ya kutembea maeneo ya mbweni, osterbay, masaki, mbezi beach.. etc
 
Kapigwe bomba urudi kwenye akili zako timamu kama unazo
Kama hii komenti umeiandika ukiwa ndio level yako ya juu kabisa ya utimamu basi wewe ni janga la taifa. Omba watu wakuwahishe mirembe kijana kabla hujafanya upumbavu zaidi.
 
Kama hii komenti umeiandika ukiwa ndio level yako ya juu kabisa ya utimamu basi wewe ni janga la taifa. Omba watu wakuwahishe mirembe kijana kabla hujafanya upumbavu zaidi.
Tatizo kubwa LA mashoga huwa mnajiona MNA akili sana na hamtaki kabisa kuambiwa ukweli.
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Kwa Mwanza Umekosea SANA
 
Sasa wew unaona Dar ni jiji kweli...

Angalia posta barabara zilivyo mbovu, miwaya ya umeme kila mahali, hakuna side walks, kariakoo chemba zinatema muda wote, machinga kila mahali, hakuna recreation parks, maghorofa mengi machakavu nk nk

Yaan Bado tunasafari ndefu kama nchi...tofauti ya dar na mwanza labda maghorofa tu na ukubwa wa mji lakin mengine yote yale yale

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Swadakta mkuu hiyo dar inayoitwa jiji la nchi ni kituko kika kona.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom