Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji

Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
 
Kama unatafuta maghorofa marefu Mbeya hutayapata, ila Mbeya ni mojawapo ya miji mizuri sana, unless useme uhovyo wake ni nini..
Mbeya mji mzuri? Nenda kule nonde, nzovwe, iyunga, stereo, sinde, isanga, ilemi, makunguru, mama joni, ilomba, uyole, iganzo, igawilo.. kote takataka tupu.
 
Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji

Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
Hivyo vigezo vya maccm ni vya kupuuzwa. Miji ijengwe kisasa ndipo ipandishwe hadhi.
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya ni ya kweli mkuu, au ni chai
 
Mbaya zaidi unalikuta kwao ni huko Uyole ndani ndani ila lilikimbilia Dar... Yanasemaga eti watu wa mkoani, majinga kama nin
hhndo imejengeka il
Mbaya zaidi unalikuta kwao ni huko Uyole ndani ndani ila lilikimbilia Dar... Yanasemaga eti watu wa mkoani, majinga kama nini
hahhh yaani sis wa mikoani tunaonekana washamba tatizo ni ulimbukeni kuishi dar ndo wanajiona wameyapatia maisha kuliko wengine.
 
Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji

Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
Wewe ndo unaelewa vigezo, tuachane na hawa watoto wameingia mjini juzi wamekaririshwa kuwa uzuri wa mji ni urefu maghorofa.
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Kwa hiyo hapa alikuwa kwa baba yako? Watoto mliozaliwa miaka ya 2000 mnashida sana. Sijui hizo story za uongo uongo na kutunga mnazitoa wapi.

Michael Jackson alikuja Tanzania miaka ya tisini mwanzoni na ikulu alienda wakapiga story sana na raisi wa wakati huo mzee Ali Hassan Mwinyi wakati huo. Halafu alitoka hapo na walipita nadhani ni maeneo ya sinza kule kuna sehemu walielekea.

Muwe mnakaa na watu wanalioshuhudia matukio ya kweli ndio wawahadithie. Mnakaa na wajomba waongo waongo unakuta hiyo miaka hata hajui Dar ni kitu gani wala mziki wa michael jackson bali alikuwa huko porini anakimbizana na tumbili.

Kaja mjini na gari la msiba kafikia kwa shemeji. Kujua ruti za Daladala tu anaanza uongo uongo wa matukio ambayo hata hakuwahi kujua lolote juu yake. View attachment 2349237View attachment 2349236
images%20(67).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HV Ni kweli alikataa kata kushuka au uzushi kumbe Tanzania hatujaanza kuwashobokea wasanii wa nje leo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwamba mguu mmoja aliukanyaga bongo kama kumbukumbu ya kuwa naye aliwahi kanyaga Tanzania!
_______________________________
[emoji26][emoji26][emoji26]Nimekutana na mention yako kwenye uzi fulani, kwanini sasa[emoji24]Kwani nakukwaza wapi?[emoji24]
 
Yaan wew pro chuga max ....huna facts ni porojo tu ,,Kwa sababu haujaja na empirical evidence kuipa nguvu hoja yako
Mimi nimeishi miaka 16 mbeya, miaka 6 mkoa wa pwani, miaka 14 dar, mwezi mmoja songea, dodoma, manyara, mwanza, arusha na kilimanjaro na maeneo mengine nimekaa angalau wiki kama tabora, lindi, mtwara, morogoro, unguja, pemba, Tanga, singida etc na miaka kadhaa nchi nyingine kama tatu.

Hivyo arusha sio makazi yangu ila nilipokaa niliona ina hadhi bora kuliko sehemu zingine za tz.
 
Back
Top Bottom