Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Unadhani ukisema Dar es Salaam mahala pote ni pazuri? Mbona mko majinga majinga sana nyie waTanzania
Una uhakika hujakosea kunukuu? Mimi nakwambia Uyole ni sehemu nzuri wewe unajibu nini hiki!, are you Ok?
 
Mbeya sio jiji aiseeh

Siku nafika nilishangaa Sana Sana inakuaje sehemu ya Hovyo namna Ile inakuwa ya jiji.

Na Tanga eti nalo ni jiji hehehe
Dar wakati inapewa hadhi ya jiji ilikua namuonekano gani mkuu
 
Kuna rafiki yangu alisafiri kwenda S.A alipofika kule siku ya kwanza kuoga akakutana na "shower gel" Basi akaoga alivyomaliza kuangalia chini akakuta mabaki kabaao ya taka kwenye tiles[emoji16][emoji16]alitoka huku bongo alijiona msaaaaaafi mwenyewe na alikuwa maji ya kunde Fulani ya kung'aa.

Alikaa S.A week mbili halfu akaenda USA huko sasa alikaa Miaka miwili aliporudi bongo alifurahi sana ila alikuwa mweupe mnoo,yaani kaivaaa[emoji16]..Aliniambia wewe utarudi mzungu ukienda huko[emoji16][emoji16]ila hakuacha kunisimulia miyeyusho ya watu weupe yaani[emoji21][emoji21]

Ulaya ni ulaya TU ila HOME SWEET HOME..huyo rafiki yangu alikubali kuwa Tanzania NI kuzuri na kutamu mno ukiwa na mkwanja,anatafuta pesa huko anakuja kutumia bongo na investment zake anafanyia huku ili siku moja arudi kwao aishi kwa furaha na amani,LAKINI KWANZA PESA,TUTAFUTE PESA VIJANA WENZANGU NCHI TAMU HII[emoji16]
Upweke tu ndio unamfanya aseme hivyo na sio vinginevyo
 
Mpangilio na mazingira? I see. Yaani kukiwa na mazingira mazuri na mpangilio hata kama ni kaeneo kadogo ka watu ishirini kaitwe jiji? Ulishawahi kufika Moshi? Mpangilio ni mzuri sana na mazingira ni masafi sana, mbona haipewi hadhi ya jiji?

Unaposema kuangalia hali ya maisha ndio kufanya nini? Kwamba kama maisha ni marahisi ndio iitwe jiji au kama ni magumu? Hoja zako zimenisikitisha sana!
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
 
Kwa Mwanza umechemka, wewe ni wale mnaokwenda mahala unalala hotel kunakucha baada ya siku tatu mnaondoka kijijini kwenu
Mwanza nimekaa mwezi mzima tena nilikuwa free kwenda mji mzima nikabaki na huzuni.
 
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Mbwiga was R, hakuna jiji kubwa kama Arachuga chaliii bilionea
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    4.2 KB · Views: 8
  • download.jpeg
    download.jpeg
    4.1 KB · Views: 8
Dar es salaam ndio mkoa mchafu wa mazingira almost kuliko mikoa yote Tanzania
Ukifika dar jaribu kuishi maeneo mazuri usikae huko tandale, buguruni, vingunguti..etc nenda mbweni, goba, mbezi beach, oysterbay, masaki etc
 
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Hoja zako nyingi sizielewi, unaposema mikoa ina raia wengi masikini ndio kumaanisha nini?
Kuna mkoa wenye watu wengi masikini na wenye maisha magumu kushinda Dsm?

Usafi wa mazingira na mpangilio havipo kabisa kwenye vigezo.

Vigezo ni viwili tu, idadi ya watu na mapato yanayokusanywa, full stop.
 
Yaani watu wa Jf wataanza kuisema Lindi wataisema Kilimanjaro wataisema Kagera, Shinyanga, Ruvuma Yani Kila Mkoa kwao ni takataka
Alafu unakuta majigambo kibao, wanaona sehemu nyingine ni takataka...kumbe hawana hata shuka za kujifunika
 
Back
Top Bottom