Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Tandale na vingunguti pia ni dar mkuuHuijui dar,we unakaa tandale au vingunguti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tandale na vingunguti pia ni dar mkuuHuijui dar,we unakaa tandale au vingunguti
Una uhakika hujakosea kunukuu? Mimi nakwambia Uyole ni sehemu nzuri wewe unajibu nini hiki!, are you Ok?Unadhani ukisema Dar es Salaam mahala pote ni pazuri? Mbona mko majinga majinga sana nyie waTanzania
Dar wakati inapewa hadhi ya jiji ilikua namuonekano gani mkuuMbeya sio jiji aiseeh
Siku nafika nilishangaa Sana Sana inakuaje sehemu ya Hovyo namna Ile inakuwa ya jiji.
Na Tanga eti nalo ni jiji hehehe
Upweke tu ndio unamfanya aseme hivyo na sio vinginevyoKuna rafiki yangu alisafiri kwenda S.A alipofika kule siku ya kwanza kuoga akakutana na "shower gel" Basi akaoga alivyomaliza kuangalia chini akakuta mabaki kabaao ya taka kwenye tiles[emoji16][emoji16]alitoka huku bongo alijiona msaaaaaafi mwenyewe na alikuwa maji ya kunde Fulani ya kung'aa.
Alikaa S.A week mbili halfu akaenda USA huko sasa alikaa Miaka miwili aliporudi bongo alifurahi sana ila alikuwa mweupe mnoo,yaani kaivaaa[emoji16]..Aliniambia wewe utarudi mzungu ukienda huko[emoji16][emoji16]ila hakuacha kunisimulia miyeyusho ya watu weupe yaani[emoji21][emoji21]
Ulaya ni ulaya TU ila HOME SWEET HOME..huyo rafiki yangu alikubali kuwa Tanzania NI kuzuri na kutamu mno ukiwa na mkwanja,anatafuta pesa huko anakuja kutumia bongo na investment zake anafanyia huku ili siku moja arudi kwao aishi kwa furaha na amani,LAKINI KWANZA PESA,TUTAFUTE PESA VIJANA WENZANGU NCHI TAMU HII[emoji16]
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.Mpangilio na mazingira? I see. Yaani kukiwa na mazingira mazuri na mpangilio hata kama ni kaeneo kadogo ka watu ishirini kaitwe jiji? Ulishawahi kufika Moshi? Mpangilio ni mzuri sana na mazingira ni masafi sana, mbona haipewi hadhi ya jiji?
Unaposema kuangalia hali ya maisha ndio kufanya nini? Kwamba kama maisha ni marahisi ndio iitwe jiji au kama ni magumu? Hoja zako zimenisikitisha sana!
Mwanza nimekaa mwezi mzima tena nilikuwa free kwenda mji mzima nikabaki na huzuni.Kwa Mwanza umechemka, wewe ni wale mnaokwenda mahala unalala hotel kunakucha baada ya siku tatu mnaondoka kijijini kwenu
Mbwiga was R, hakuna jiji kubwa kama Arachuga chaliii bilioneaWapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.
Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Mbeya nyumba zilivyotapakaa ni uharibifu wa ardhi.Mbeya sio jiji aiseeh
Siku nafika nilishangaa Sana Sana inakuaje sehemu ya Hovyo namna Ile inakuwa ya jiji.
Na Tanga eti nalo ni jiji hehehe
Ukifika dar jaribu kuishi maeneo mazuri usikae huko tandale, buguruni, vingunguti..etc nenda mbweni, goba, mbezi beach, oysterbay, masaki etcDar es salaam ndio mkoa mchafu wa mazingira almost kuliko mikoa yote Tanzania
Hoja zako nyingi sizielewi, unaposema mikoa ina raia wengi masikini ndio kumaanisha nini?Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.
Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Alafu unakuta majigambo kibao, wanaona sehemu nyingine ni takataka...kumbe hawana hata shuka za kujifunikaYaani watu wa Jf wataanza kuisema Lindi wataisema Kilimanjaro wataisema Kagera, Shinyanga, Ruvuma Yani Kila Mkoa kwao ni takataka
Pale mbeya block t, forest mpya na uzunguni ndio kuzuri.. uyole pa kishamba sana..Ulishawahi kufika Uyole? Unapoitaja Uyole itaje kwa heshima. Ni mojawapo ya maeneo mazuri sana katika jiji la Mbeya.
Kuna mkoa wenye watu wengi masikini na wenye maisha magumu kushinda Dsm?
Hivi ni vigezo vya kipuuzi ikiwa ndio vigezo pekee. Hizi ndio akili zenu maccm.Vigezo ni viwili tu, idadi ya watu na mapato yanayokusanywa, full stop.
Nimekuelewa sana, uzuri unaoangalia wewe ni usafi wa mazingira na mpangilio wa makazi.Pale mbeya block t, forest mpya na uzunguni ndio kuzuri.. uyole pa kishamba sana..
Mkuu nashauri upate muda wa kukaa tena Arusha.Arusha nilikaa 2011 na huwa napita mara kadhaa na ninakubaliana na wewe kwamba mandhari ya arusha inazidiwa na dar peke yake katika nchi hii.
Kwa hiyo pakishakuwa uswazi wewe hutambui kama ni Dsm, Dsm kwako ni maeneo ya kishua tu au siyo?!Acha kukaa uswazi
Huwezi kusema mahali ni jiji ikiwa ujenzi wote ni holela almost kila sehemu.Nimekuelewa sana, uzuri unaoangalia wewe ni usafi wa mazingira na mpangilio wa makazi.
Mimi naangalia kitu kingine kabisa.
Mimi nimeshakuwa maccm?Hivi ni vigezo vya kipuuzi ikiwa ndio vigezo pekee. Hizi ndio akili zenu maccm.