Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
MmhHuwezi kusema mahali ni jiji ikiwa ujenzi wote ni holela almost kila sehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhHuwezi kusema mahali ni jiji ikiwa ujenzi wote ni holela almost kila sehemu.
Hata marekani kuna maeneo ya walalahoi kwahiyo huwezi kusema marekani ni kubaya. Hiyo mikoa almost kila sehemu ni pa hovyo.Tandale na vingunguti pia ni dar mkuu
Mbeya mji mzuri? Nenda kule nonde, nzovwe, iyunga, stereo, sinde, isanga, ilemi, makunguru, mama joni, ilomba, uyole, iganzo, igawilo.. kote takataka tupu.Kama unatafuta maghorofa marefu Mbeya hutayapata, ila Mbeya ni mojawapo ya miji mizuri sana, unless useme uhovyo wake ni nini..
Hivyo vigezo vya maccm ni vya kupuuzwa. Miji ijengwe kisasa ndipo ipandishwe hadhi.Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji
Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
Iganzo ndo iko wapi?Mbeya mji mzuri? Nenda kule nonde, nzovwe, iyunga, stereo, sinde, isanga, ilemi, makunguru, mama joni, ilomba, uyole, iganzo, igawilo.. kote takataka tupu.
Sasa ,jiji gan Tanzania ni la kisasa .Hivyo vigezo vya maccm ni vya kupuuzwa. Miji ijengwe kisasa ndipo ipandishwe hadhi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya ni ya kweli mkuu, au ni chaiSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
hhndo imejengeka ilMbaya zaidi unalikuta kwao ni huko Uyole ndani ndani ila lilikimbilia Dar... Yanasemaga eti watu wa mkoani, majinga kama nin
hahhh yaani sis wa mikoani tunaonekana washamba tatizo ni ulimbukeni kuishi dar ndo wanajiona wameyapatia maisha kuliko wengine.Mbaya zaidi unalikuta kwao ni huko Uyole ndani ndani ila lilikimbilia Dar... Yanasemaga eti watu wa mkoani, majinga kama nini
Wewe ndo unaelewa vigezo, tuachane na hawa watoto wameingia mjini juzi wamekaririshwa kuwa uzuri wa mji ni urefu maghorofa.Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji
Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
Arusha mandhari yake ni nzuri sana ingawa maeneo mabaya hayawezi kukosekana.Mkuu nashauri upate muda wa kukaa tena Arusha.
Yaan wew pro chuga max ....huna facts ni porojo tu ,,Kwa sababu haujaja na empirical evidence kuipa nguvu hoja yakoArusha mandhari yake ni nzuri sana ingawa maeneo mabaya hayawezi kukosekana.
Ukitoka isanga unaenda iganzo njia ya chunya.Iganzo ndo iko wapi?
Kwa hiyo hapa alikuwa kwa baba yako? Watoto mliozaliwa miaka ya 2000 mnashida sana. Sijui hizo story za uongo uongo na kutunga mnazitoa wapi.Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Kwamba mguu mmoja aliukanyaga bongo kama kumbukumbu ya kuwa naye aliwahi kanyaga Tanzania!HV Ni kweli alikataa kata kushuka au uzushi kumbe Tanzania hatujaanza kuwashobokea wasanii wa nje leo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapa akiwa anashuka airportSiku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Hapa akiwa ikulu magogoni kule kigamboni.Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Yaani msanii anapokelewa na raisi jamani duu yaani nchi za kiafrikaHapa akiwa ikulu magogoni kule kigamboni. View attachment 2349245
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeishi miaka 16 mbeya, miaka 6 mkoa wa pwani, miaka 14 dar, mwezi mmoja songea, dodoma, manyara, mwanza, arusha na kilimanjaro na maeneo mengine nimekaa angalau wiki kama tabora, lindi, mtwara, morogoro, unguja, pemba, Tanga, singida etc na miaka kadhaa nchi nyingine kama tatu.Yaan wew pro chuga max ....huna facts ni porojo tu ,,Kwa sababu haujaja na empirical evidence kuipa nguvu hoja yako