Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

On my own sizani kama kipimo ni kuangalia kwa macho tuu na kufanya evaluation mkuu

Nenda kanye sheria ya uanzishwaji majiji.

Vilevile sheria inampa Raisi wa nchi kufanya miji yoyote kuwa majiji
Utaratibu unatakiwa kuwa mzuri na vigezo viwe vya kuridhisha. Miji iwe na miundombinu bora kabla haijapandishwa hadhi. Isiwe suala la kisiasa.
 
Jiji ni nini ? Kwa tafsiri yako, tafsiri ya Tanzaniwa (walioipa miji hio hadhi ya jiji) na Tafsiri ya Kamusi ? Na wewe hapa unataka tuchukue vigezo gani ?
Chukua vigezo kama:
1. Ardhi iliyopimwa
2. Mji umepangika
3. Miundombinu ya usafirishaji, maji safi na taka, elimu, afya nk iwe imejegwa kwa mipango
4. Idadi ya watu na makazi
5. Shughuli za uzalishaji mali na kipato nk
 
hahahahaha nafikiri hata Dar na Arusha hazijafikia vigezo vya kuitwa majiji ni kama vijiji tu vyenye watu wengi na nyumba nyingi.
 
We unaongea nn ? Ivyo vyote serikali ndo Ina panga kama unabisha sera ya sasa kuendeleza Dodoma utakuja kuona maendeleo yake ,wakati majiji yanakuwa na mipango yake baada ya tathmini unachoshindwa kujua Tanzania hatuna taasisi ya serikali tuna mfumo....Nina maana gani? Ni kwamba kila raisi anakuja na mfumo wake mpya hii inasababisha kushindwa kuendeleza miradi husika kwa wakati , magufuli alipokuja ameachana na majiji hayo kakimbia huko chato siku kadhaa kaja kuipandisha Dodoma mara kaanza ujenzi wa dodoma .

Elimu unakosea kwanA mkoa kama Tanga tangu enzi za nyerere hakutaka kujenga vyuo na taasisi kubwa za kielimu umenielewa alimaliza kila kitu rejea nyimbo ya wagosi wa kaya waliomba.

Mbeya nayo ndo ivyo Ina mapato makubwa sana mno ila Haina kipaumbele kaa ujiulize?
 
Arusha haijakizi Haina airport nzuri, stendi ya mabasi Haina, bado vidaladala kama vipanya hamna cha maana wezi kibao
hahahahaha nafikiri hata Dar na Arusha hazijafikia vigezo vya kuitwa majiji ni kama vijiji tu vyenye watu wengi na nyumba nyingi.
 
We unaongea nn ? Ivyo vyote serikali ndo Ina panga kama unabisha sera ya sasa kuendeleza Dodoma utakuja kuona maendeleo yake ,wakati majiji yanakuwa na mipango yake baada ya tathmini unachoshindwa kujua Tanzania hatuna taasisi ya serikali tuna mfumo....Nina maana gani? Ni kwamba kila raisi anakuja na mfumo wake mpya hii inasababisha kushindwa kuendeleza miradi husika kwa wakati , magufuli alipokuja ameachana na majiji hayo kakimbia huko chato siku kadhaa kaja kuipandisha Dodoma mara kaanza ujenzi wa dodoma .

Elimu unakosea kwanA mkoa kama Tanga tangu enzi za nyerere hakutaka kujenga vyuo na taasisi kubwa za kielimu umenielewa alimaliza kila kitu rejea nyimbo ya wagosi wa kaya waliomba.

Mbeya nayo ndo ivyo Ina mapato makubwa sana mno ila Haina kipaumbele kaa ujiulize?
Hapa bado sijaweza kuelewa hoja yako ni ipi hasa.

Hayo yote unayoyataja yanathibitisha kwamba hoja yangu kuhusu hiyo miji kutokidhi vigezo vya kuwa majiji ni sahihi.

Sasa sioni sababu ya wewe kutofautiana na mimi.
 
Unashindwa kuelewa nn? Ishu ni kwamba jiji mpaka linachaguliw iwe kisiasa au kukidhi vigezo ni lazima patengwe fungu fulani katika kuendeleza miuondombinu

Mfano we umesema elimu je katika majiji yote Kuna vyuo vikuu zilitakiwa kuweka campus ila ikishindikana kutokana na kila raisi anakuja na sera yake!!

Huwezi kusema kwamba mji uliopangika kama unabisha tulete drone footage ya mbeya, Tanga ,Arusha ,dodoma na mwanza ipi umepangika vizuri!!! Kila sehemu Ina potential yake mbeya Ina potential ya uchumi kuliko Arusha kama unabisha sema

Na hyo Arusha haijakidhi vigezo Haina airport ya maana ,Haina hata stendi ya mabasi
 
Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.

Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.

Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio Inaitwa Halmashauri ya jiji

Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Ni Halmashauri ya Jiji. Nafikiri maana ya Halmashauri imekupita pembeni kidogo
 
Kwa tz hii mtu akisema halmashauri watu wengi wanaelewa nini kinamaanishwa. Halmashauri za wilaya ndio jina maarufu zaidi.

Hata hivyo upo sahihi, kuna halmashauri nyingi kama za jiji, mji, kuu ya chama, ya kikanisa nk
 
Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.

Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.

Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
Sio kweli labda Arusha nyingine sio hii ya Tanzania 😂😂😂eti mandhari ili iyo vichaka ?
 
Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.

Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.

Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
Unatetea mkoa wako hamna kitu nyie mwanza mandhari iko poa sana !!iko fully kama mji ulio kamili
 
Ubora wake ni upi mkuu, tukiondoa kwamba ni Jiji la kiashara?
Dar kuna kila kitu na almost 24/7/365. Kuna maeneo classic mengi kuliko sehemu yoyote tz, mzunguko wa fedha mkubwa, idadi ya watu, watu wengi wana vipato vikubwa, nyumba zenye hadhi.. fukwe za maana, usafiri na miundombinu ya kisasa, bandari, masoko ya kisasa, maofisi ya kisasa.. viwanja vya michezo, sehemu za kujipumzisha, nk
 
Kwa hiyo unataka kusema huko kwingine watu hawana hela,hawajajenga nyumba nzuri,nk kama ulivyovitaja hapo juu?
 
Back
Top Bottom