Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
na huyu ni harmonize yuko babu yako kijijini kwenu? Acheni stori za vijiweni kaeni vizuri na wazee wenu mpate madini elekezi
 
...Achana na Stori za Vijiweni zisizo na Ukweli za Kujidhalilisha Nchi Yako!
Hii ñi Stori ya Kijiweni.
Nani alikuambia MJ aliwahi kuja hapa na akakatalia ndani ya Ndege??
Punguza kukaa Vijiweni!
Mj alikuja Tanzania na akapokelewa na mzee Mwinyi pale ikulu magogoni. Sasa hawa watoto wa mwaka 2000, wanaleta hadithi za vijiweni wakati wanavuta cannabis [emoji1787]
USA presidents walio fika Tanzania, Ni Clinton,G.Bush,na juzi hapa kaja Obama JK akiwa madarakani, Sasa Huyo Nani mkubwa kuliko hao viongozi, mpaka aseme Tanzania Inanuka?
 
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
 
Nyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.

Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.

Idadi ya watu pekee haikidhi. Kiukweli bado kuna majiji yamewaushwa tu. Kwa baadhi ya nchi majiji kama Mbeya, Dodoma na Tanga kiukweli ni Manispaa tu. Na pia kuna manispaa bado zilipaswa ziji upgrade taratibu kufikia Manispaa kwa mfano Lindi.
Ila kwa utaratibu tuliojiwekea ni majiji
 

Unatakiwa useme ni kigezo gani kinachotakiwa, sio kushia tu kwamba idadi ya watu pekee haikidhi, otherwise huna hoja.
 
Ndio maana alisema vigezo viboreshwe iko kutoa uhalisia. Ni sawa na kusema atakayepata alama 30% hiyo ni A
 
Ndio maana alisema vigezo viboreshwe iko kutoa uhalisia. Ni sawa na kusema atakayepata alama 30% hiyo ni A
Nyie wapenda maghorofa marefu mtatusumbua sana.

Vigezo vyenye maana kwa mtu mwenye akili timamu ni wingi wa watu na mapato yanayopatikana. Hivyo vya mpangilio wa makazi sijui na nini? Usafi?! ni vitu visivyo na maana.
 
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
Ukiwa juu ya ndege ni kweli maeneo mengi yanaonekana ni mabaya. Ila pata fursa ya kutembea maeneo ya mbweni, osterbay, masaki, mbezi beach.. etc
 
Kapigwe bomba urudi kwenye akili zako timamu kama unazo
Kama hii komenti umeiandika ukiwa ndio level yako ya juu kabisa ya utimamu basi wewe ni janga la taifa. Omba watu wakuwahishe mirembe kijana kabla hujafanya upumbavu zaidi.
 
Kama hii komenti umeiandika ukiwa ndio level yako ya juu kabisa ya utimamu basi wewe ni janga la taifa. Omba watu wakuwahishe mirembe kijana kabla hujafanya upumbavu zaidi.
Tatizo kubwa LA mashoga huwa mnajiona MNA akili sana na hamtaki kabisa kuambiwa ukweli.
 
Kwa Mwanza Umekosea SANA
 
Swadakta mkuu hiyo dar inayoitwa jiji la nchi ni kituko kika kona.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…