Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Hili ndo tatizo moja kubwa nchii hii inatakiwa kuwe na serikali za majimbo au halmashauri na zisiingiliwe na serikali kuu yaani ipange mambo yake ya maendeleo

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hawaangalii vigezo Bali ni utashi wa wanasiasa,kwani hukumbuki Dodoma
ni mtu mmoja aliamka kutoka usingizini akatamka,kuanzia leo Dodoma utakuwa jiji na watu wakapiga makofi.Hata kahama ilipandishwakuwa Manispaa kwa matamko.
 
Kuhusu kwamba hawakurupuki hapo umebugi, huwa wanakurupuka sanaaaaa tuu, imagine eti Charo kuwa mkoa huo siyo ukurupukaji mkuu?? Siasa nchi hii ni shidaaa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]

Kuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanza iendelee kubaki kuwa jiji, ila kwa Dodoma, Tanga na Mbeya naunga hoja mkono
 
Jiji ni nini ? Kwa tafsiri yako, tafsiri ya Tanzaniwa (walioipa miji hio hadhi ya jiji) na Tafsiri ya Kamusi ? Na wewe hapa unataka tuchukue vigezo gani ?
 
Ukifika hayo maeneo na kijionea kulivyo utagundua vigezo vitumikavyo ni hafifu sana. Miji ina hadhi ndogo sana Ile.
On my own sizani kama kipimo ni kuangalia kwa macho tuu na kufanya evaluation mkuu

Nenda kanye sheria ya uanzishwaji majiji.

Vilevile sheria inampa Raisi wa nchi kufanya miji yoyote kuwa majiji
 
Kuhusu kwamba hawakurupuki hapo umebugi, huwa wanakurupuka sanaaaaa tuu, imagine eti Charo kuwa mkoa huo siyo ukurupukaji mkuu?? Siasa nchi hii ni shidaaa..
Imekuwa kama nchi ya kusadikika.. mfalme anaamka na jambo lake analitamka linaenda kwenye utekelezaji.
 
Ni wapi ambapo nyumba hazijatapakaa mkuu? vipi kwa dar mvua zikinyesha unalizungumziaje hilo? wasalimie kawe mkuu
 
Angalie pia
 
Tanga jiji ni Wilaya ya Tanga tu,sio Mkoa mzima wa Tanga,kwenye wilaya 7,Yeye atakuwa amefika katika wilaya nyingine,ambazo sio jiji,akafikiri ndio jiji lenyewe.
 
Mkoa wa Tanga,una wilaya 7,ni Wilaya moja tu ya Tanga ndio jiji.Itakuwa wewe hukufika wilaya ya Tanga,ulifika wilaya nyingine kati ya hizo wilaya,ukafikiri Mkoa wote wa Tanga ni jiji.Na huwezi kumaliza wilaya za Tanga,kwa siku moja.
 
Huyu jamaa hakuwai kusafiria ni kijana tu hajielewi kashavaa mashati makubwa Yale oversize ,kagongea juisi anapiga kelele yaani hajielewi anaongelea uchafu wa mji ebu niambie bongo hakuna mji ulipangika kuizidini musoma na Tanga .kwa nn iswe ni mji mikubwa haelewi hata kidogo, ukitoa dar inafuatia mwanza ata mapato yanaonyeshwa ,Hajui iyo dar inaenda kuwa mega city miaka kadhaa ngoja tuangalie sensa ya mwaka huu..

Nishajua mtu anatokea mkoa fulani sometime siwezi kubishana nae kwa sana ...kama anabisha eti hali ya hew iyo chuga Ina hali ya hewa kama kwa wasambaa huko sijui lushoto.

Jamaa elimu ndogo sana.
 
Hawaangalii vigezo Bali ni utashi wa wanasiasa,kwani hukumbuki Dodoma
ni mtu mmoja aliamka kutoka usingizini akatamka,kuanzia leo Dodoma utakuwa jiji na watu wakapiga makofi.Hata kahama ilipandishwakuwa Manispaa kwa matamko.
Mambo ya aibu sana haya. Nchi haifuati taratibu bali matamko. Matokeo yake ndio hiyo miji ya ajabu ajabu kupandishwa hadhi.
 
Mkoa wa Tanga,una wilaya 7,ni Wilaya moja tu ya Tanga ndio jiji.Itakuwa wewe hukufika wilaya ya Tanga,ulifika wilaya nyingine kati ya hizo wilaya,ukafikiri Mkoa wote wa Tanga ni jiji.Na huwezi kumaliza wilaya za Tanga,kwa siku moja.
Pale mjini niliona baiskeli tupu.
 
Ni wapi ambapo nyumba hazijatapakaa mkuu? vipi kwa dar mvua zikinyesha unalizungumziaje hilo? wasalimie kawe mkuu
Maeneo mabaya machache hata marekani yapo na hii haimaanishi kwamba marekani ni kubaya.

Dar ina changamoto zake lakini bado ni bora kuliko sehemu zote kwa tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…