Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
-
- #221
Utaratibu unatakiwa kuwa mzuri na vigezo viwe vya kuridhisha. Miji iwe na miundombinu bora kabla haijapandishwa hadhi. Isiwe suala la kisiasa.On my own sizani kama kipimo ni kuangalia kwa macho tuu na kufanya evaluation mkuu
Nenda kanye sheria ya uanzishwaji majiji.
Vilevile sheria inampa Raisi wa nchi kufanya miji yoyote kuwa majiji
Hayo mapato ya viwanja vya mwaka Jana ,fuatilia jomba acha kuvuta bangi!Huu ni uongo. Kimapato inafuatia dodoma ambayo imekaa kama kijiji.
Chukua vigezo kama:Jiji ni nini ? Kwa tafsiri yako, tafsiri ya Tanzaniwa (walioipa miji hio hadhi ya jiji) na Tafsiri ya Kamusi ? Na wewe hapa unataka tuchukue vigezo gani ?
Lete hapa takwimu za serikali sio unabisha tu.Hayo mapato ya viwanja vya mwaka Jana ,fuatilia jomba acha kuvuta bangi!
We unaongea nn ? Ivyo vyote serikali ndo Ina panga kama unabisha sera ya sasa kuendeleza Dodoma utakuja kuona maendeleo yake ,wakati majiji yanakuwa na mipango yake baada ya tathmini unachoshindwa kujua Tanzania hatuna taasisi ya serikali tuna mfumo....Nina maana gani? Ni kwamba kila raisi anakuja na mfumo wake mpya hii inasababisha kushindwa kuendeleza miradi husika kwa wakati , magufuli alipokuja ameachana na majiji hayo kakimbia huko chato siku kadhaa kaja kuipandisha Dodoma mara kaanza ujenzi wa dodoma .Chukua vigezo kama:
1. Ardhi iliyopimwa
2. Mji umepangika
3. Miundombinu ya usafirishaji, maji safi na taka, elimu, afya nk iwe imejegwa kwa mipango
4. Idadi ya watu na makazi
5. Shughuli za uzalishaji mali na kipato nk
hahahahaha nafikiri hata Dar na Arusha hazijafikia vigezo vya kuitwa majiji ni kama vijiji tu vyenye watu wengi na nyumba nyingi.
Mapato na idadi ya watu.Tupe vigezo muzee.
Hapa bado sijaweza kuelewa hoja yako ni ipi hasa.We unaongea nn ? Ivyo vyote serikali ndo Ina panga kama unabisha sera ya sasa kuendeleza Dodoma utakuja kuona maendeleo yake ,wakati majiji yanakuwa na mipango yake baada ya tathmini unachoshindwa kujua Tanzania hatuna taasisi ya serikali tuna mfumo....Nina maana gani? Ni kwamba kila raisi anakuja na mfumo wake mpya hii inasababisha kushindwa kuendeleza miradi husika kwa wakati , magufuli alipokuja ameachana na majiji hayo kakimbia huko chato siku kadhaa kaja kuipandisha Dodoma mara kaanza ujenzi wa dodoma .
Elimu unakosea kwanA mkoa kama Tanga tangu enzi za nyerere hakutaka kujenga vyuo na taasisi kubwa za kielimu umenielewa alimaliza kila kitu rejea nyimbo ya wagosi wa kaya waliomba.
Mbeya nayo ndo ivyo Ina mapato makubwa sana mno ila Haina kipaumbele kaa ujiulize?
Unashindwa kuelewa nn? Ishu ni kwamba jiji mpaka linachaguliw iwe kisiasa au kukidhi vigezo ni lazima patengwe fungu fulani katika kuendeleza miuondombinuHapa bado sijaweza kuelewa hoja yako ni ipi hasa.
Hayo yote unayoyataja yanathibitisha kwamba hoja yangu kuhusu hiyo miji kutokidhi vigezo vya kuwa majiji ni sahihi.
Sasa sioni sababu ya wewe kutofautiana na mimi.
Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.Unashindwa kuelewa nn? Ishu ni kwamba jiji mpaka linachaguliw iwe kisiasa au kukidhi vigezo ni lazima patengwe fungu fulani katika kuendeleza miuondombinu
Mfano we umesema elimu je katika majiji yote Kuna vyuo vikuu zilitakiwa kuweka campus ila ikishindikana kutokana na kila raisi anakuja na sera yake!!
Huwezi kusema kwamba mji uliopangika kama unabisha tulete drone footage ya mbeya, Tanga ,Arusha ,dodoma na mwanza ipi umepangika vizuri!!! Kila sehemu Ina potential yake mbeya Ina potential ya uchumi kuliko Arusha kama unabisha sema
Na hyo Arusha haijakidhi vigezo Haina airport ya maana ,Haina hata stendi ya mabasi
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio Inaitwa Halmashauri ya jiji
Ni Halmashauri ya Jiji. Nafikiri maana ya Halmashauri imekupita pembeni kidogoNimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Kwa tz hii mtu akisema halmashauri watu wengi wanaelewa nini kinamaanishwa. Halmashauri za wilaya ndio jina maarufu zaidi.Ni Halmashauri ya Jiji. Nafikiri maana ya Halmashauri imekupita pembeni kidogo
Sio kweli labda Arusha nyingine sio hii ya Tanzania 😂😂😂eti mandhari ili iyo vichaka ?Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.
Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.
Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
Unatetea mkoa wako hamna kitu nyie mwanza mandhari iko poa sana !!iko fully kama mji ulio kamiliMaana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.
Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.
Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
Ubora wake ni upi mkuu, tukiondoa kwamba ni Jiji la kiashara?Maeneo mabaya machache hata marekani yapo na hii haimaanishi kwamba marekani ni kubaya.
Dar ina changamoto zake lakini bado ni bora kuliko sehemu zote kwa tanzania.
Dar kuna kila kitu na almost 24/7/365. Kuna maeneo classic mengi kuliko sehemu yoyote tz, mzunguko wa fedha mkubwa, idadi ya watu, watu wengi wana vipato vikubwa, nyumba zenye hadhi.. fukwe za maana, usafiri na miundombinu ya kisasa, bandari, masoko ya kisasa, maofisi ya kisasa.. viwanja vya michezo, sehemu za kujipumzisha, nkUbora wake ni upi mkuu, tukiondoa kwamba ni Jiji la kiashara?
Vigezo vinaibeba arusha kuliko huko kwingine. Mimi sio mwenyeji wala mkaazi wa huko.Unatetea mkoa wako hamna kitu nyie mwanza mandhari iko poa sana !!iko fully kama mji ulio kamili
Kwa hiyo unataka kusema huko kwingine watu hawana hela,hawajajenga nyumba nzuri,nk kama ulivyovitaja hapo juu?Dar kuna kila kitu na almost 24/7/365. Kuna maeneo classic mengi kuliko sehemu yoyote tz, mzunguko wa fedha mkubwa, idadi ya watu, watu wengi wana vipato vikubwa, nyumba zenye hadhi.. fukwe za maana, usafiri na miundombinu ya kisasa, bandari, masoko ya kisasa, maofisi ya kisasa.. viwanja vya michezo, sehemu za kujipumzisha, nk
Ndio.. hadhi ya nyumba nyingi mkoani bado ni hafifu sana.Kwa hiyo unataka kusema huko kwingine watu hawana hela,hawajajenga nyumba nzuri,nk kama ulivyovitaja hapo juu?