Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Ndio.. hadhi ya nyumba nyingi mkoani bado ni hafifu sana.
Mkuu hakuna sehemu iliyojitosheleza kwa Kila kitu, japo Dar unaisifia lakini ni sehemu chache sana zenye mpangilio na ustaarabu, sehemu kubwa ni uswazi tu,Jiji linanuka nya sehemu kubwa, uchafu umekithiri miundo mbinu ya kishenzi , na nadhani ndio sehemu inayoongoza kwa magonjwa ya mlipuko
 
Maeneo mengi yaliyokuwa mabaya kama manzese, buguruni, tandale, mwananyamala, kigogo, msasani, mikocheni A, magomeni, kinondoni hasa moscow nk yanazidi kubadilika maana watu wenye pesa wanawahamisha wale wakazi wa zamani.

Ni suala la muda tu huko kote kutakuwa safi sana ingawa maeneo mabaya hayawezi kuisha kabisa.
 
Vivyo hivyo hata kwa maeneo mengine, maana Mwanza /Mbeya ya miaka ya 2000 ni tofauti na ya sasa, labda kama umeanza kuijua jiografia juzi
 
Nyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.

Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
Lakini kama ni mapato mbona dodoma mapato yake madogo? Hata kwenye kumi bora haipo. Au yenyewe ilifanywa kuwa Jiji kwa kigezo kingine?
 
Tanga jiji ni Wilaya ya Tanga tu,sio Mkoa mzima wa Tanga,kwenye wilaya 7,Yeye atakuwa amefika katika wilaya nyingine,ambazo sio jiji,akafikiri ndio jiji lenyewe.
Ndiooo! Saza one, luika, patamela, kama utakuwa umenisoma KWA code @ mkwajuni!?
 
Kwani vigezo vya manispaa kupewa hadhi ya jiji ni vipi?
 
[emoji1787]

Kuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo halina ubishi,Dar inanuka.
 
Mbeya ni kakijiji kalikochangamka,

Kupo hovyooo,
 
Kwani vigezo vya manispaa kupewa hadhi ya jiji ni vipi?
Iwe na watu laki 5
Iwe na uwezo wa kujitegemea kimapato asilimia 95
iwe na makao makuu ya mkoa
Iwe na miundombinu ya kutosha
Na wakazi wake wasiwe wanaotegemea kilimo kama shughuli ya kiuchumi
 
Afrika kila kitu kinawezekana ndugu...hii ni Africa
 
Hii ni kweli kabisa
 
Mimi najua Tanzania ina Majiji 3 tuu nayo ni Dar is Slum,Arusha na Dodoma..

Huko kwingine ni mifano ya Majiji..
 
Pamoja na maisha yenu ya huko Dar kamwe siwezi ishi sehemu kama hiyo maana robo tatu ya watu wanaishi kwenye slums,Mji unanuka,watu ni wengi hatari na ufirauni wa kuzidi..

Mikoani hayo mambo ya hovyo hayapo.
 
Mbeya the only issue ni Money circulation na hiyo haizuii kuwa jiji. Laumu investments na ndio ujue why watu wanalalama Serikali kuhamia Dom. Wewe umetembelea na hujaishi. Kaishi ndo urudi hapa Mwana Dar.
Money circulation imefanyaje? Kwamba haipo au? Au unataka iringane na Dar? Haiwezekani Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…