The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Bora niwe mshamba naishi decent life na naishi sehemu nzuri,siwezi ishi kwa mafirauni kunakonuka mimi..Na ushamba wako utaiwezea wap dar ..ndo maana unaogopa [emoji12][emoji28][emoji28]
Robo 3 ya Dar wanaishi kwa tabu na shida tupu huko kwenye uswazi wenu..
Mvua ikinyesha Kero,jua likiwaka kero sasa hayo ni maisha? Watu wamenenepeana kama vitimoto 😁😁