Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Na ushamba wako utaiwezea wap dar ..ndo maana unaogopa [emoji12][emoji28][emoji28]
Bora niwe mshamba naishi decent life na naishi sehemu nzuri,siwezi ishi kwa mafirauni kunakonuka mimi..

Robo 3 ya Dar wanaishi kwa tabu na shida tupu huko kwenye uswazi wenu..

Mvua ikinyesha Kero,jua likiwaka kero sasa hayo ni maisha? Watu wamenenepeana kama vitimoto 😁😁
 
Mwanza kuna apartments zipi? Vile vipicha ulivyo post kule nikakuuliza ndio apartments au? [emoji38][emoji38].

Au Mwanza kuna barabara zipi za maana?
Hope unaipenda sana mwanza .. siwezi post pictures humu nitaharibu Uzi wa watu
 
Unajua hata maana ya apartment au unaongea tu
Ni hizi hapa za Dar 😜😜.

Harafu jitu linakaa humu linakuja kupondea mkoani heee 🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20220908-222725.png
    Screenshot_20220908-222725.png
    486.2 KB · Views: 4
We hujielewi na usije maana utakuja kugongwa na magari.
Nimesoma chuo Dar miaka 3,nimefanya Kazi miaka 2 na kila mwezi wa 7 nakuja Kwa event ya wiki zima ,naanzaje kugongwa na gari huko kwenu Kwa kina midebwedo?

Siwezi ishi Jiji la hovyo hilo,linanuka kuanzia hapo bandari I hadi kawe beach..

Inyeshe mvua tabu,liwe jua tabu ..Horrible life hiyo huwezi ikuta mikoani na in fact haipo Mbeya Wala Njombe.
 
Ungekuja kugongwa huna jinsi utafanyaje? Huna business umeajiriwa halmashauri hamna nafasi dar baki porini.

Ushamba wako wa mkoani usituletee pwani!!
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Acha uongo, MJ alifika mpaka magogoni akaonana na mzee mwinyi [emoji24][emoji24]
 
Kila nchi hua na vigezi vya sehemu kua na hadhi fulani, ndio maana manispaa iliyoko Malawi kwa Tz ni halmashauri ya mji pia umetumia kigezo cha makazi holela kuondoa uhalali wa majiji tajwa hapo juu labda nikuulize hivi ukiondoa Mbeya ni mji gani wenye makazi holela kuizidi Dar ? 70% ya makazi yapo kiholela, pia Dar ilipopewa hadhi ya jiji ulikua ni mji duni sasa kuliko miji uliyotaja inavyoonekana leo je wahusika walikosea kuipa hadhi ya jiji ?,kwa vigezo unavyovitaka tuviongeze hata Dar itakosa hadhi ya jiji
Nakubali sana man

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uba
Unaambiwa ukweli unaleta mbwembwe huo ndo ukweli kijana usiwe mbishi nyie mnajifanya mko juu kutokana na ubaguzi ila hamna kitu cha kuringia zaidi ya vile ni biashara za watu kwa ajili ya wazungu sio nyie wavaa mashati makubwa ...Kuna mzungu anakunywa maji meno yameoza zipo mashine za kuondoa fluoride sasa nyie mbona wengi meno Yana kutu pesa hamna ? Ya kununua mashine mbaki mbwembwe..

Unachokosea unapenda kuattack bila ya kigezo mfano Arusha kw mpangilio wa nyumba inaweza kuizidi Tanga au musoma lete drone footage hapa sibishani ni nyie kwa vile akili hamna mmejaa ubaguzi wengi ni vibaka
Yani masukuma na mashamba mengine yakizidiwa kitu hoja ni ubaguzi, fear of the unknown wabaguzi ni nyie na Mungu kawaumbua na mungu mtu wenu. Yani mkiulizwa mmebaguliwa wapi majibu hakuna, mmebebwa mpaka aibu na sasa mta tia adabu.
 
Nenda kasome uncivilized kabishane na wajinga wenzio mi sio msukuma 😂😂😂
 
Back
Top Bottom