Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Pamoja na vigezo hivyo, mimi bado siafiki Dodoma kuwa jiji
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Stori za kwenye vilabu vya mbege
 
Mbeya the only issue ni Money circulation na hiyo haizuii kuwa jiji. Laumu investments na ndio ujue why watu wanalalama Serikali kuhamia Dom. Wewe umetembelea na hujaishi. Kaishi ndo urudi hapa Mwana Dar.
Mbeya nimewahi kuishi miaka 10+, kile ni kijiji tu. Mwanza niliwahi kuishi mwezi mmoja - nyumba zinachungulia kutokea milimani.. tanga ni takataka tupu, dodoma nipo saa hizi naona upumbavu mtupu.
 
Yaan Bado tunasafari ndefu kama nchi...tofauti ya dar na mwanza labda maghorofa tu na ukubwa wa mji lakin mengine yote yale yale
Safari inakuwa ndefu zaidi pale ambapo maeneo ambayo yako kwenye hatua za ujima yanapoitwa majiji.

Dar kuna maeneo hovyo lakini angalau kuna maeneo ukipita unasema hili linaweza kuwa jiji.
 
Itoshe kusema Tanzania hii hakuna mkoa hata mmoja una sifa za kuwa jiji.
 
Yaan wewe umeangalia hali ya maisha tu na majengo tu baaasi

Tukupime Medura na Celebral Hemisphere sio bure hivi hivi utakua na walakini mkuu
Wahi mirembe kijana.. kwahiyo unataka tusiangalie hali ya maisha?
 
Nyie ndio huwa mnahesabu idadi ya maghorofa kwenye miji.

Vigezo vya mji kuwa jiji ni idadi ya watu pamoja na mapato yanayopatikana, sio mpangilio wa nyumba wala usafi wa mazingira.
Kama hauangalii hali ya maisha, mpangilio na mazingira basi hakuna vigezo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…