Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Ushawahi kugongewa ukafeel maumivu yake? kumbuka MTU anaekutafunia mkeo manake anakuona ww bwege na mbaya zaidi ukute mkeo anakuletea nyodo sababu ya mgoni wako unaweza kuelewa nini chakufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure,Hadi kumvua kanzu,walijua wako mda wa kutosha,kabsa,yaweza kuwa ofisi zilikuwa mapumziko ya noel
 
Toka lini mtu kakatwa( Ashakum) xxmboo na kuachwa namna ile.

Kwenye biblia imeandilwa hakuna kilichofichwa gizani ambacho hakitawekwa juu kwenye mwanga watu wote wakione.

Hata haya mambo wakubwa wanakufa kwa HIV halafu tunaambiwa no BP yamepitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kugongewa ukafeel maumivu yake? kumbuka MTU anaekutafunia mkeo manake anakuona ww bwege na mbaya zaidi ukute mkeo anakuletea nyodo sababu ya mgoni wako unaweza kuelewa nini chakufanya

Sent using Jamii Forums mobile app


Hatakama lakini inabidi kuhesabu gharama kabla ya kile utakachokifanya!

Sasa unajua walichokifanya gharama yake ni kubwa ktk maisha yao na vizazi vyao!

Kwanza wajue lazima watakamatwa.

Pia wajue hiyo laana ya kumwaga damu ya mtu itaenda kudhuru hadi vilembwe wao.

Sasa hivi tunavyoongea hao walofanya hayo mauaji watakuwa hawana raha ya nafsi,

Watakuwa hawana uhuru wa kutembea popote,

Watakuwa usingizi mzuri hawapati ,

Watakuwa wanaona mauzauza tu na kuweweseka!

Damu ya mtu ina siri kubwa asikwambie mtu.

Sasa kwa kuzingatia tabu zote hizo si ni afadhali kumtwanga talaka huyo mwanamke anayekusababishia shida?

Wanaume wa kiafrika hususa ni bongo mnahitaji mafundisho ya kisaikolojia ili akili zenu zipate afya muweze kufanya maamuzi sahihi yasiyo na majuto maisha yenu yote na vizazi vyenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kugongewa ukafeel maumivu yake? kumbuka MTU anaekutafunia mkeo manake anakuona ww bwege na mbaya zaidi ukute mkeo anakuletea nyodo sababu ya mgoni wako unaweza kuelewa nini chakufanya

Sent using Jamii Forums mobile app


Hayo ni mapokeo mabaya!

Sasa na kuulize hata kama ingekuwa ni kweli kwani jamaa alimbaka huyo demu wako au mkeo?

Kwanini usimuazibu huyo mkeo kwa kumuacha gafla?

Hiyo mbona ni adhabu kubwa sana ambayo athari zake hazitakuathiri kwa kiasi kikubwa?!

Hayo ya kusema eti atakudharau ni mtazamo wa kimapokeo tu.

Ndo maana Mungu kaagiza muishi na wake zenu kwa akili .

Nyie badala ya kutumia akili kuamua mnatumia hasira na nguvu mwisho wa siku mnaishia majuto


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kugongewa ukafeel maumivu yake? kumbuka MTU anaekutafunia mkeo manake anakuona ww bwege na mbaya zaidi ukute mkeo anakuletea nyodo sababu ya mgoni wako unaweza kuelewa nini chakufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha [emoji16] si unajua jamaa unaingiza yooooooote, mpaka demu anaguna kwamba imefika mahali pake. Ndio wife anagongwa na kupinduliwa style kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…