Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Mwisho wa mwaka mambo huwa ni mengi sana!
Je! Ni kisasi, ushirikina, au wivu wa mapenzi!?
Haijalishi umri wake ni miaka 6, ifahamike ameuawa kikatili sana!
🩸Uhai wa mwanadamu una thamani kubwa sana.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Nimemuona mama wa huyu mtoto, bado ni mschana mdogo ingawa ni mfanyabiashara tayari.

Ushauri wangu kwa wasichana, kama bado hujaamua kuwa mama, tumia uzazi wa mpango. Kuwa mama maana yake ku sacrifice starehe na kulea watoto. Kama mama zetu Wangeendekeza starehe tusingekuwa hapa leo. Rip mtoto mzuri 🙏
 
Dah huyo dogo naye alikuwa akipinga Serikali mtandaoni?
 
Mwanamke km hauko tayari kulea ni bora usizae......siyo kila mtu ni lazma aitwe mama jmn.

Kumuacha mtoto na mtu baki usiku kucha !!! inashangaza sana....kuna hisia na wasiwasi mama huwa nazo juu ya mwanae pale hatari inapoweza kutokea...sasa huyu vipi??

Inamana hakuhis kumuacha mtoto na huyo boda siyo salama tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…