Kabisa mkuu Kinachopelekea yote hayo ni mdomo hadi unakuta jamii nzima inakuona kama takatakaWanawake wangekuwa na subira na kuwaza kabla ya kufungua vinywa ndoa nyingi zingeponywa hii wanaiweza wanaume tu.
Chako ni chako mkuu, huwezi jua jamaa ka sacrifice mangapi juu ya huyo mkewe ila hasira sasa ndo imemponza.Ila wanaume wengine bana, unaendekezaje wivu kwa mwanamke wa miaka 58🤔
Dar,njombe,dodoma,maraSorry I thought ni wale jamaa wa kaskazini wakigombea mali za ndoa. Kumbe hii ni tofauti!
Brother, by default mauwaji kwenye ndoa assumption ni wale jamaa. Uelewa huja baadaye baada ya ufafanuzi kama huu. Shukran.Kwani akina Raphael Ulanga nao ni miongoni mwa Wachaga?
Hahahaa; Ataendaje bila alama ya kudumu?Mhhh, hivi ni nini haya yote lakini? Mtu mmechokana au ana tabia isofaa na hamuendani si umwache aende zake sheikh?
Nao wana changamoto zao kwenye hizo ndoa za Mikataba sema tu hawapazi sauti kama sie.Ujue Wazungu waliona mbali kuanzisha Ndoa za mikataba hata kama sie twaona Haram
Wewe wanakaribia 10,,Huyo ni wa nne ndani ya mwezi mmoja
Brother, katiba yetu inataka mtuhumiwa apewe haki yake ya msingi ya kusikilizwa ikichagizwa pia na mikataba mbalimbali ya haki za binadamu ambayo kama nchi tumeridhia.Kwa nchi zenye kujielewa kama China hapa ingepitishwa sheria ya dharura. Death by firing squad kwa wote wanafanya mauaji kwenye ndoa kwa kipindi hiki. Hapo hapo tatizo linaisha.
Kama ile ya mauaji ya albino na vikongwe, ingeanzishwa hiyo penalty mbona kila raia angegeuka mgambo kuwalinda albino.
Ilikubaliwa kwa sauti moja ile kauli ya Mjumbe wa Kaskazini.kwani kwenye kikao mlijadili nini kuhusu hawa wake zetu? maana tangu kweka alianzishe naona ni muendelezo tu. Niambieni jamani maana sikuwepo kwenye kikao
Yaan nashangaa umekibonda miaka yote iyo bado unakiona chathaman kias cha kuuaIla wanaume wengine bana, unaendekezaje wivu kwa mwanamke wa miaka 58🤔
Changamoto zao hazifikii kuuana hivi kama nyie Sheikh, unaishi na Mtu kwa makubaliano ya miaka minne thn mnakubaliana kuzaa mtoto mmoja au wawili mnaachana mnabakiza kusomesha tuHahahaa; Ataendaje bila alama ya kudumu?
Nao wana changamoto zao kwenye hizo ndoa za Mikataba sema tu hawapazi sauti kama sie.
Wakati mwingine kumuacha mtu "aende" si rahisi kama unavyodhani.Mhhh, hivi ni nini haya yote lakini? Mtu mmechokana au ana tabia isofaa na hamuendani si umwache aende zake sheikh?
Ujue Wazungu waliona mbali kuanzisha Ndoa za mikataba hata kama sie twaona Haram
Na bado.Huyo ni wa nne ndani ya mwezi mmoja
TuwaorodhesheWewe wanakaribia 10,,
Miaka 58! Hatari Sana.Akina mama wanachepuka sana waziwazi akiona haitoshi anakuita,kibamia,mwanaume suruali,kimoja chali huku mume anajua kabisa anamegewa sishabikii ila huyu jamaa anaonekana alidhamiria akaona bora akifie jela
Mkuu kwani adhabu ya kifo mtuhumiwa anapewa tu mtaani, si inatolewa mahakamani?Brother, katiba yetu inataka mtuhumiwa apewe haki yake ya msingi ya kusikilizwa ikichagizwa pia na mikataba mbalimbali ya haki za binadamu ambayo kama nchi tumeridhia.
Tuheshimu uhai wa binadamu ambao ndicho kitu cha thamani zaidi kwa binadamu yeyote. Tusiende njia ya akina Duterte wa Ufilipino.