Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Mapenzi yafutwe na ndoa ifanywe kuwa kosa la jinai, watu wazae, na kupeana utamu bila maagano yoyote..Watakao bainika kuwa NI wapenzi wa kudumu au wana ndoa wakamatwe haraka, wafungwe kifungo kikali jela
 
Nachoka sana mie. Au ndo ugaidi umeanza kwa ndoa?
 
Mapenzi yafutwe na ndoa ifanywe kuwa kosa la jinai, watu wazae, na kupeana utamu bila maagano yoyote..Watakao bainika kuwa NI wapenzi wa kudumu au wana ndoa wakamatwe haraka, wafungwe kifungo kikali jela
Tanzania Itakosa Nguvu Kazi, Uzao Utakoma
Acha Tuzaane Tu
 
Shetani yumkini ameweka makazi yake Tanzania. Baada ya mauaji ya Oct 29, na kuona hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauaji, yumkini akaona aweke makazi yake.
 
Imekuwa fashion sasa unaua mke unajisalimisha polisi unaendelea kula bata
 
Hatari, wanawake wakimbie kwenye mahusiano yanayohatarisha maisha yao..!!
 
Shetani yumkini ameweka makazi yake Tanzania. Baada ya mauaji ya Oct 29, na kuona hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauaji, yumkini akaona aweke makazi yake.
Tunamlaumu Shetani bureee. Mbona ni sisi wenyewe? Kwani Shetani alisema wapi eti mtu asichukue Tahadhari? Ww unamwona mtu kavaa uso wa malimao, kabeba shoka na anakufuata -halafu wewe unajijua huna misuli ya kukabiliana naye Halafu unamkenulia. Kweli???
 
Na nyie punguzeni umalaya mana haiwezekani mtu kulinda mali yake ionekane ni wivu
Enzi zile kule Musoma, ilikuwa kama mwanamke(Mke) aliye kwenye mahusiano esp. aliyeolewa, kama Mume wake hampigi sana(kichapo cha nguvu) mwanamke huyo huenda kumshitaki na kudai kwamba hampendi. Cjui siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…