Sasa hv ukimpiga, yeye ndo anakwenda kukushtaki ulale ndaniEnzi zile kule Musoma, ilikuwa kama mwanamke(Mke) aliye kwenye mahusiano esp. aliyeolewa, kama Mume wake hampigi sana(kichapo cha nguvu) mwanamke huyo huenda kumshitaki na kudai kwamba hampendi. Cjui siku hizi.
Madhara ya kumwachia Uhai wake ni makubwa zaidi.Hatua za kuchukua ni nyingi kuliko kutoa uhai wa mtu
Angeuliwa mwanao ungesema hivyo?Kiburi kimewajaa kama chote.
Halafu ukirudi inakuwaje?Sasa hv ukimpiga, yeye ndo anakwenda kukushtaki ulale ndani
Huwezi kulinganisha uhai wa mtu na chochoteMadhara ya kumwachia Uhai wake ni makubwa zaidi.
Mwanangu(Binti) nitakuwa nimesha mtahadharisha kuhusu mahusiano yasiyoeleweka. Akighairi/asipotii basi itakula kwake.Angeuliwa mwanao ungesema hivyo?
Ndoa inaendelea kama kawaida kama vile hakuna kilichotokea na inawezekana cycle hiyo ikaendelea 😎Halafu ukirudi inakuwaje?
Ile wiki ya urasa na kwekaTuwaorodheshe
- Urassa na Nkya
- Kuna mmoja Dodoma last week
- Huyu wa tarehe 14 October
Hebu tulia kidogo utafakari:Huwezi kulinganisha uhai wa mtu na chochote
Dah! Wanaume kazi tunayo. Ndo mana wengine tunachepuka ili likibuma kwa huku unatokezea kwa kule.Ndoa inaendelea kama kawaida kama vile hakuna kilichotokea na inawezekana cycle hiyo ikaendelea 😎
Jiaminini wanaume...mnakua na hofu mpaka mnapata changamoto ya afya ya akili...mnaua ua hovyo..Akina mama wanachepuka sana waziwazi akiona haitoshi anakuita,kibamia,mwanaume suruali,kimoja chali huku mume anajua kabisa anamegewa sishabikii ila huyu jamaa anaonekana alidhamiria akaona bora akifie jela
Hapana dharau za kila siku ni mbaya zaidi kuliko afya ya akili.Jiaminini wanaume...mnakua na hofu mpaka mnapata changamoto ya afya ya akili...mnaua ua hovyo..
Tuko kwenye mashindano ngazi ya mikoa kutafuta mshindi kitaifa. Of course mashindano yenyewe hayana kanuni.Ile wiki ya urasa na kweka
Kuna yule mwanachuo gongo la mboto
Wale wa musoma
Kuna mwingine yeye alikunywa sumu njombe huko (mwanaume)
Arusha nao waliuana 1 ni mapenzi
Mwingine alikutwa amekufa kwenye bnb